Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
- Thread starter
-
- #21
Ogopa Tanzania.Sumu mliomlisha mzee Mangula.itawahaibisha sana wauwaji wakubwa nyinyi. Kikao cha watu wachache tu na bado mzee kalishwa sumu. Upeleleziiiiiiiiiiii ziiiiiiiiiiiiii majibu ziiiiiiiiiiiiii kimyaaaaaaaaaaaaaa. Dhambi ya uuwaji haitawaacha salama MUNGU ANAONA YOTE
Wasipohama itakuwaje chaumbea weweHapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh rais wa JMT.
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja.
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm.
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja.
Kabla ya kuhama Lijualikali na wenzake si nilisema kuna wabunge walishahama ila wanasubiri mafao. Fuatilia upate ukweli. Mbaya zaidi mkaleta uhuni.Wasipohama itakuwaje chaumbea wewe
Siku hizi mpinzani wa chadema kwenda ikulu sio CCM, bali ni polisi na hao kajamba nani wanao vaa visuti uchwaraMkuu acha kujifariji. ivi kweli chadema ya sasa ishindane na ccm ya sasa kweli?
Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh rais wa JMT.
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja.
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm.
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja.
Niogope nini?. Tanzania ina uwezo wa kuhukumu roho kwenye jehanam ya Moto?.Ogopa Tanzania.
Baba huyo akirudi tena kwa walewale sijui kama atakuwa salama.Sumu mliomlisha mzee Mangula.itawahaibisha sana wauwaji wakubwa nyinyi. Kikao cha watu wachache tu na bado mzee kalishwa sumu. Upeleleziiiiiiiiiiii ziiiiiiiiiiiiii majibu ziiiiiiiiiiiiii kimyaaaaaaaaaaaaaa. Dhambi ya uuwaji haitawaacha salama MUNGU ANAONA YOTE
Majonzi Gani zaidi ya wasaliti, wachumia tumbo na wahuni kukimbia? Tulishauri Sana reform kuwa na watu waaminifu na watiifu ni moja ya njia ya kuwa chama bora tunataka kuona wapuuzi wote wakiondoka. uje uone upepo utakavyokuwa kwenye uchaguzi watanzania sio wajinga kivile.
Yaani mnafikiri mtawanunua wananchi? mnachekesha kweli nunueni wahuni wapiga pesa kwanza wangekuwa wanajitambua watakavyokuja kubwagwa uko waendako hata wasingethubutu. tuendelee kuwepo muda ni mwalimu.
Nakupa tu mfano mdogo mdogo wangu wa damu ni chadema kadi yake ni ya 5,670,000 ya mwaka 2018 nimeaproxmate hyo kadi na mama yangu ni Ccm kadi yake ameipata january mwaka huu 2020 ni ya 4,470,000 nimeaproxmate pia. maana yake nini idadi ya wanachama wa chadema wenye kadi wa mwaka 2018 ni kubwa kuliko ya ccm wa mwaka huu?Mkuu acha kujifariji. ivi kweli chadema ya sasa ishindane na ccm ya sasa kweli?
Aisee Mzee Mangula sijui aliwakosea nini CCMAchana na hayo ya kufikirika, wenye mamlaka wanajiuliza lijalo kuhusu huyu mtu litavuruga chama kwa kiasi gani na kuwaaibisha wakubwa namna gani.
Au hamna taarifa? Subirini mtajua tuu! Maana nyie vuvuzela hamjajui ya ndani mpaka mpewe kuimba.View attachment 1462853View attachment 1462854
Mbona mnatumia nguvu nyingi dhidhi ya chadema Kama siyo kitu kwenu?Mkuu acha kujifariji. ivi kweli chadema ya sasa ishindane na ccm ya sasa kweli?
Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh rais wa JMT.
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja.
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm.
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja.
Mataga mnahangaika sana. Na badoHapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh rais wa JMT.
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja.
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm.
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja.
Kwani wewe umelazimishwa kuusoma au kuchangia. Au maumivu yanakusumbua. Na huna mamlaka ya kunipangia nitoe maoni gani.Naona umeamua kuanzisha uzi unaoihusu chadema, maana umeona ukianzisha wa ccm au NCCR wote hawana mvuto hivyo hupati wachangiaji wengi.