Kama Bunge lingevunjwa jana, leo ilikuwa ni majonzi makubwa kwa CHADEMA

Hata kichaa hawezi kuamini.
 
Mkuu huyu kwenye picha ndio nani kama namjua vile [emoji849][emoji849]wamefanyaje Mbona umemu hilight?
 
Mimi siyo mwanasiasa lakini ninavyo ona Chadema inakwenda kuimarika tofauti na watu wanavyopiga ramli chonganishi Kama hizi
 
Wale Ccm na serikali yake ilio wapandikiza kwenye chama ili kukiua Chadema wamegundua intelijensia ya Chadema ni kubwa haiwezi kuuawa na wajinga. Sasa wana rudi nyumbani. Poleni maana mission aborted.. Mtoto si riziki..
 
Kwani wewe umelazimishwa kuusoma au kuchangia. Au maumivu yankusumbua. Na huna mamlaka ya kunipangia nitoe maoni gani.

Wala sikuzuii unaweza kuchangia chochote, ila sioni ukianzisha nyuzi za hicho chama ulichojifanya imehamia, au hiki ulichoko mpaka sasa. Huo ni uthibitisho kuwa uko sehemu zisizo na mvuto, bali vinavyoshurutisha kukubalika.
 
Nasisitiza kuwa Nccr mageuzi sio sababu ya kunipangia cha kuandika. Natoa maoni kwa mujibu wa katiba ya JMT,ibara ya 18. Na mimi sio pinga pinga. Kama Ccm inafanya vizuri mimi nasema ukweli.
 
Haka kajamaa kapumbavu kweli na kanajiona kamafya sana. Wakati Lissu yupo Ubelgiji nako eti kakaenda huko ili kajipenyeze tukawa tunakafuatilia tunakaambi hiiiiiiii. Kaambie tutakanyoosha huo mgongo uliopinda kama 7
 
Nasisitiza kuwa Nccr mageuzi sio sababu ya kunipangia cha kuandika. Natoa maoni kwa mujibu wa katiba ya JMT,ibara ya 18. Na mimi sio pinga pinga. Kama Ccm inafanya vizuri mimi nasema ukweli.

Nasema hivi, ww sio msifia mazuri bali ni mtetea uovu. Ndio maana umejikita zaidi kwenye kuijadili cdm na sio huko ulipo.
 
Ambacho haukielewi ni kudhani kuwa mbunge ndio anatengeneza wanachama na wakati uhalisia ni kwamba wanachama ndio wanatengeneza mbunge. Mnachokosea ni kuwekeza nguvu katika kuchukua wabunge kwa kudhani ukichukua mbunge ndio umechukua na wanachama, hizi ni akili za Popo na mkumbuke kuwa wanachama wa CDM sio wanachama wa kufuata MTU kama ilivyokuwa kwa Lowassa bali hawa ni wanachama wa kufuata chama
 
Nasema hivi, ww sio msifia mazuri bali ni mtetea uovu. Ndio maana umejikita zaidi kwenye kuijadili cdm na sio huko ulipo.
Nccr mageuzi ina maovu gani? Mmesahau kuna wananachama wa Chada walipiga mawe prado la Nccr mageuzi? Na sasa wana kesi,hii ni picha gani?
 
Subiri uone na wanachama wataohama. Ina maana hujaona yaliyotokea Tarime,Musoma na Bunda?
 
Subiri uone na wanachama wataohama. Ina maana hujaona yaliyotokea Tarime,Musoma na Bunda?
Hakuna kitu hapo wewe, wanachama 13 mkoa mzima alafu unajisifia kuwa utaipiku chadema yenye wanachama 12,000,000 ?? huo ni upimbi mtu
 
Daaah ila kuna watu ni kama wapumbavu tu..
Yani kwa Hali ilivyo sasa chini Ya uongozi madhubuti wa Dr.JPM bado mtu anadiriki kusema Chadema Bado ina nguvu.
Am Sorry to say R.I.P CHADEMA
 
CHADEMA wachache wamebaki kujipa Moyo tu na kuamini Kua Chadema Bado ipo.
Wameamua kufa Kifo cha Tai shingoni.
 
Haka kajamaa kapumbavu kweli na kanajiona kamafya sana. Wakati Lissu yupo Ubelgiji nako eti kakaenda huko ili kajipenyeze tukawa tunakafuatilia tunakaambi hiiiiiiii. Kaambie tutakanyoosha huo mgongo uliopinda kama 7
Kumbe ndio Carlos the Jackal wao? Sasa mbona kamumuwekea mzee wao under dose na wanaumbuka sasa?
Kweli wa kubana na praise hadi anyooke huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…