Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Ok Asante kwa ufafanuzi mzuri lakini huwa naona baadhi yao tangu waende mjengoni Ni kusinzia tu mkuu mpaka Miaka mitano inaishaWazungu wanasema you get it wrong.
Kazi ya wabunge ni kupitisha sheria zilizopendekezwa na serikali lakini pia kama kuna mbunge ana hoja na ina maslahi kwa umma anapendekeza itungiwe sheria ili utumike. Sio lazima aitunge yeye, akishatoa hoja ikapokelewa vizuri na wabunge wenzake basi huilazimisha serikali kutunga hiyo sheria.
Ndio maana bungeni kuna muwakilishi wa serikali kwa upande wa sheria ambae ni mwanasheria Mkuu wa serikali.
Hujaelewa mada, utapitishaje kitu ambacho hukijui?Wazungu wanasema you get it wrong.
Kazi ya wabunge ni kupitisha sheria zilizopendekezwa na serikali lakini pia kama kuna mbunge ana hoja na ina maslahi kwa umma anapendekeza itungiwe sheria ili utumike. Sio lazima aitunge yeye, akishatoa hoja ikapokelewa vizuri na wabunge wenzake basi huilazimisha serikali kutunga hiyo sheria.
Ndio maana bungeni kuna muwakilishi wa serikali kwa upande wa sheria ambae ni mwanasheria Mkuu wa serikali.
Hujaelewa kazi ya bungeWabunge ni Wawakilishi wa Wananchi, na sio wawakilishi wa Wanasheria.
Mkuu, sheria hazitungwi kwa ajili ya wanasheria bali zinatungwa kwa ajili ya wananchi bila kujali kazi zao. Zinatungwa na nani? Zinatungwa na wananchi wenyewe (wabunge).Hujaelewa mada, utapitishaje kitu ambacho hukijui?
Ni bora mtunga sheria awe hajui sheria kuliko mpitisha sheria awe hajui sheria.
Sawa, lakini, sheria imetungwa na msomi mwanasheria, halafu kwenye kujadili itumike au la, na itumikeje, eti anayejadili hayo eti awe anajua kusoma na kuandika tu..!! Yaani anayepitisha au kukwamisha kilicholetwa na mwanasheria ni yule anayejua kusoma na kuandika tu..!! BOOLSHITWazungu wanasema you get it wrong.
Kazi ya wabunge ni kupitisha sheria zilizopendekezwa na serikali lakini pia kama kuna mbunge ana hoja na ina maslahi kwa umma anapendekeza itungiwe sheria ili utumike. Sio lazima aitunge yeye, akishatoa hoja ikapokelewa vizuri na wabunge wenzake basi huilazimisha serikali kutunga hiyo sheria.
Ndio maana bungeni kuna muwakilishi wa serikali kwa upande wa sheria ambae ni mwanasheria Mkuu wa serikali.
Zinatungwa na wananchi wenyewe (mbunge).. mwisho wa kunukuu.. Mbunge wa la saba BMkuu, sheria hazitungwi kwa ajili ya wanasheria bali zinatungwa kwa ajili ya wananchi bila kujali kazi zao. Zinatungwa na nani? Zinatungwa na wananchi wenyewe (wabunge).
Labda kama unachoongelea ni uandishi wa sheria, hapo ndio lazima uwe mtaalamu wa sheria. Ila kupanga kuwa kufanya jambo fulani itakuwa ni kosa, hakuhitaji utaalamu wa sheria bali makubaliano yenu kama wananchi. Ni kama baba anavyopanga muda wa watoto wake kurudi nyumbani
Ndio imepita hiyo aisee - wananchi wenye madigrii wanasema hawataki kujihusisha na siasa, hawashiriki hata kupiga kura matokeo yake tunapata wabunge wa darasa la pili halafu wananchi wenye madigrii wanaanza kubeza wabunge wao (maana mbunge akichaguliwa anakuwa wa wote).. na wanaanza kulalamika kuona wanapangiwa maisha na wasomi wa darasa la piliZinatungwa na wananchi wenyewe (mbunge).. mwisho wa kunukuu.. Mbunge wa la saba B
Hoja yake imeeleweka. Mwaka 2014 ni Zitto na Lissu walikuwa wanaweza kuchambua miswada kisheria kwa kuchambua madhara ya zile , 'au' 'na' nk.Mtoa mada anayo hoja, ila Wachangiaji wamekariri.....!
Bunge ni la wananchi. Wabunge ni wawakilishi tu. Yaani ilitakiwa huyo mwanasheria ailete kwetu wananchi wote tuijadili maana sisi ndio tutaitumia, kwa kuwa wote hatuwezi kwenda bungeni ndio mwakilishi wetu (mbunge) anajadili kwa niaba yetu. Hata hivyo bunge hutoa nafasi ya wananchi kutuma maoni, japo taarifa hiyo huwa ya kificho na ya muda mfupi sanaSawa, lakini, sheria imetungwa na msomi mwanasheria, halafu kwenye kujadili itumike au la, na itumikeje, eti anayejadili hayo eti awe anajua kusoma na kuandika tu..!! Yaani anayepitisha au kukwamisha kilicholetwa na mwanasheria ni yule anayejua kusoma na kuandika tu..!! BOOLSHIT
Siyo Sheria zote huanza hivi, nyingine huletwa tu na Serikali, kwa mfano kodi ya miamala ya bank ilianzia wapi?Mimi nadhani jambo la msingi ni kwamba tunatakiwa tujue maana ya sheria, dhumuni la sheria, na utaratibu wa utungwaji wa sheria.......
Sheria zinaanzia ngazi ya familia kutoka kwa mkuu wa familia kwa faida ya familia....
Kwa mfano kama wewe unavyoamua kutunga sheria ndogo ndogo nyumbani kwako na kuzisimamia kwa adhabu ulizoziainisha kwa atakayevunja.......
Huu ni mjadala mzuri unaohitaji mawazo na michango yakinifu.....
Wabunge wanafafanuliwa hizo sheria na wanasheria wa bunge, kumbuka kuwa bunge ni mhimili wa dola wenye ofisi nyingi ndani yake sio wabunge pekee yao. Kuna wanasheria wa bunge, kuna waandishi wa sheria, kuna raisi na hao wabunge sasa. Usishangae raisi ni sehemu ya Bunge.Sawa, lakini, sheria imetungwa na msomi mwanasheria, halafu kwenye kujadili itumike au la, na itumikeje, eti anayejadili hayo eti awe anajua kusoma na kuandika tu..!! Yaani anayepitisha au kukwamisha kilicholetwa na mwanasheria ni yule anayejua kusoma na kuandika tu..!! BOOLSHIT
Ndio imepita hiyo aisee - wananchi wenye madigrii wanasema hawataki kujihusisha na siasa, hawashiriki hata kupiga kura matokeo yake tunapata wabunge wa darasa la pili halafu wananchi wenye madigrii wanaanza kubeza wabunge wao (maana mbunge akichaguliwa anakuwa wa wote).. na wanaanza kulalamika kuona wanapangiwa maisha na wasomi wa darasa la pili
Bunge ni la wananchi. Wabunge ni wawakilishi tu. Yaani ilitakiwa huyo mwanasheria ailete kwetu wananchi wote tuijadili maana sisi ndio tutaitumia, kwa kuwa wote hatuwezi kwenda bungeni ndio mwakilishi wetu (mbunge) anajadili kwa niaba yetu. Hata hivyo bunge hutoa nafasi ya wananchi kutuma maoni, japo taarifa hiyo huwa ya kificho na ya muda mfupi sana