Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katazame rate exchange ya Kenya na Tanzania sasa hivi wakiwa ma machafuko, agaist sisi majoga a.k.a amani ya mchongo, ndio ujue tofauti yetu na Kenya. Ukitazama TBC na kusoma magazeti ya ccm na serekali tu, unaweza kuamini Tanzania ni kama China, nenda hata hapo Zimbwabwe tu utajua hakuna mtu anajua hii nchi ya majoga.Upuuzi
Unapenda sana Tanzania ianguke wewe jamaaKatazame rate exchange ya Kenya na Tanzania sasa hivi wakiwa ma machafuko, agaist sisi majoga a.k.a amani ya mchongo, ndio ujue tofauti yetu na Kenya. Ukitazama TBC na kusoma magazeti ya ccm na serekali tu, unaweza kuamini Tanzania ni kama China, nenda hata hapo Zimbwabwe tu utajua hakuna mtu anajua hii nchi ya majoga.
Olyimpics inaanza hivi karibuni, ambayo ni michezo ya kimataifa, katazame ushiriki wa Kenya na sisi unaotaka tupewe mechi za Afcon.
Ninapenda ianguke kwani imesimama? Nikuulize, Tanzania inapeleka washiriki wangapi kwenye michezo ya Olympics kesho kutwa ambayo ni mikubwa kuliko hiyo AFCON? Au hata hilo utasema mimi ndio nimezuia?Unapenda sana Tanzania ianguke wewe jamaa
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.
Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19
My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.
Ninyi ibeni Kura tu ndio mnachokiweza Kenya wako Serious.

Tanzania ni bwana mdogo hapa East Africa.
Miundo-mbinu, lugha, watangazaji, matangazo ya kibiashara, promotion wapo kimya kimya kimataifa hawajimwambafai kama wenzetu wa Uganda na Kenya kuhusu uwezo wa kuanda AFCON 2027.
Habari zote za AFCON 2027 zinatolewa Uganda na Kenya kwa ki English sisi huku tunasumulia ujenzi wa viwanja kwa kiSwahili kwa jumuiya ya kimataifa, hivyo hakuna habari zozote kwa kiEnglish zitokazo Tanzania zilizoandaliwa na waTanzania kuelezea nchi ilivyo tayari mbali ya mpira malazi watalala wapi, wataburudika vipi, mawasiliano ya TEHAMA ni rahisi kiasi gani, usafiri wa ndege mabasi maboti nchini upo vipi. Matangazo ya beer, usafiri, malazi kwa kiEnglish ? Hakuna habari hizo mtambuka kusapoti uwenyeji wetu ili mechi ya fainali ifanyike Tanzania
Wapenzi wetu wa mpira ni wengi ila mahojiano yao yote ni kwa kiSwahili hakuna kijiwe mtaani wala studio katika kituo cha televisheni wala online wanaoendesha mijadala kwa kiEnglish mashabiki wakaelewa Tanzania kupo vipi kimpira na masuala mtambuka.
Hakuna kiEnglish Azam TV, Uhuru FM, Wasafi wala Clouds Media n.k Matangazo ya kibiashara yaliyosukwa Tanzania kwa kiEnglish hakuna, corporate CEO wanaoongea kiEnglish hawapo ktk TV Stations main media wala Online media. Wote wanatema kiSwahili muda wote hata katika mikutano ya kimataifa inayofanyika Tanzania iwe Arusha, Dar es Salaam na Zanzibar hadi wanaohudhuria wanaumia masikio kwa kuvaa headphones wakati Tanzania lugha ya kiingereza ni lugha rasmi ya biashara, mahakama na serikali...
Ushawishi / Lobbying katika masuala ya kimataifa Tanzania inategemea hisani haina juhudi kimataifa kuji brand
Hizo ni fix za kikenya, hakuna ukweli wowote hapo. CAF hawajakaa kuamua wala kuchagua mechi zipigwe wapi
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.
Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19
My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.
wapo busy na kuiba mali za ummaTunapigwa bao hadi na watu wapo kwenye maandamano? Mwana FA???????? Fanyeni jambo huko CAF.