Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

Foleni ya magari na wingi wa watu eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam kulipo uwanja wa Chamazi Complex Centre sijui vurugu za machinga, mamantilie, daladala zitamalizika lini kuelekea AFCON 2027.

Uwanja wa Samia huko Arusha je kiwanja inachojengwa porini kutazungukwa na nyumba za mabanda au zilizo na mpangilio kama za Hamidu City za Kigamboni Dar es Salaam
 
Katazame rate exchange ya Kenya na Tanzania sasa hivi wakiwa ma machafuko, agaist sisi majoga a.k.a amani ya mchongo, ndio ujue tofauti yetu na Kenya. Ukitazama TBC na kusoma magazeti ya ccm na serekali tu, unaweza kuamini Tanzania ni kama China, nenda hata hapo Zimbwabwe tu utajua hakuna mtu anajua hii nchi ya majoga.

Olyimpics inaanza hivi karibuni, ambayo ni michezo ya kimataifa, katazame ushiriki wa Kenya na sisi unaotaka tupewe mechi za Afcon.
 
Unapenda sana Tanzania ianguke wewe jamaa
 
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.

Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19

My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.

Usihofu wakenya waongo waongo si hata kilimanjaro wanasema ipo kwao wanajaribu kuwatuliza GEN Z ufunguzi ni bongo!
 
Ninyi ibeni Kura tu ndio mnachokiweza Kenya wako Serious.

Watawala walivunja Bilicanas Club na maeneo yote ya kumbi za starehe (Hospitality) ambayo wageni wangeweza kuburudika wakisubiri mechi zingine za AFCON 2027. Wapi kuna watoto wazuri, tutafikaje katika pwani safi za Kigamboni kula starehe tukisubiri siku ya mechi wakati usafiri wa ferry kutoka mjini kwenda Kigamboni ni mtihani. Kuzunguka kupitia Kurasini kwenye malori tukitoka usiku Kigamboni ni salama baada ya kula bata kurejea mjini ?

View: https://m.youtube.com/watch?v=GxHV3DjNDEU

Jinsi ya kufiki viwanja vya starehe eneo la kusini ya jiji la Dar es Salaam kutoka mjini kati CBD

View: https://m.youtube.com/watch?v=85QFH-_qn3I
 
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.

Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19

My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.

Hizo ni fix za kikenya, hakuna ukweli wowote hapo. CAF hawajakaa kuamua wala kuchagua mechi zipigwe wapi.

Kukusaidia tu mleta mada, linapokuja suala la wapi mechi ya ufunguzi au fainali ipigwe, CAF huchagua kwanza uwanja na sio nchi baada ya kuvikagua. Na mpaka sasa ni viwanja viwili tu vilivyofikia walau hadhi ya kutumika kwenye michuano hiyo navyo ni Benjamin Mkapa Stadium (Dar) na New Aman stadium (Zanzibar).
 
Duuu! Aiseee nimekuelewa sana
Tanzania ni bwana mdogo hapa East Africa.

Miundo-mbinu, lugha, watangazaji, matangazo ya kibiashara, promotion wapo kimya kimya kimataifa hawajimwambafai kama wenzetu wa Uganda na Kenya kuhusu uwezo wa kuanda AFCON 2027.

Habari zote za AFCON 2027 zinatolewa Uganda na Kenya kwa ki English sisi huku tunasumulia ujenzi wa viwanja kwa kiSwahili kwa jumuiya ya kimataifa, hivyo hakuna habari zozote kwa kiEnglish zitokazo Tanzania zilizoandaliwa na waTanzania kuelezea nchi ilivyo tayari mbali ya mpira malazi watalala wapi, wataburudika vipi, mawasiliano ya TEHAMA ni rahisi kiasi gani, usafiri wa ndege mabasi maboti nchini upo vipi. Matangazo ya beer, usafiri, malazi kwa kiEnglish ? Hakuna habari hizo mtambuka kusapoti uwenyeji wetu ili mechi ya fainali ifanyike Tanzania

Wapenzi wetu wa mpira ni wengi ila mahojiano yao yote ni kwa kiSwahili hakuna kijiwe mtaani wala studio katika kituo cha televisheni wala online wanaoendesha mijadala kwa kiEnglish mashabiki wakaelewa Tanzania kupo vipi kimpira na masuala mtambuka.

Hakuna kiEnglish Azam TV, Uhuru FM, Wasafi wala Clouds Media n.k Matangazo ya kibiashara yaliyosukwa Tanzania kwa kiEnglish hakuna, corporate CEO wanaoongea kiEnglish hawapo ktk TV Stations main media wala Online media. Wote wanatema kiSwahili muda wote hata katika mikutano ya kimataifa inayofanyika Tanzania iwe Arusha, Dar es Salaam na Zanzibar hadi wanaohudhuria wanaumia masikio kwa kuvaa headphones wakati Tanzania lugha ya kiingereza ni lugha rasmi ya biashara, mahakama na serikali...

Ushawishi / Lobbying katika masuala ya kimataifa Tanzania inategemea hisani haina juhudi kimataifa kuji brand
 
Hizo ni fix za kikenya, hakuna ukweli wowote hapo. CAF hawajakaa kuamua wala kuchagua mechi zipigwe wapi

Tumejipanga vizuri kuhakikisha wageni wakija mbali na mpira siku wakisubiri mechi zifuatazo kuna burudani, usafiri, usalama, umeme, maji, call centres za mawasiliano ya simu kwa lugha za kigeni, madereva wa UBER, Mwendokasi, Daladala wanaongea kimataifa ?
 
Tulivyokuwa wa ajabu sisi ndio tulitakiwa kuaandaa mashindano tukaamua kuwapa idea wenzetu wamekuwa serious kuliko sisi.Ikumbukwe Kenya wameshajiongeza wameshaanza ujenzi wa TARANTA stadium ambao ni mkubwa kama wa Mkapa na utakuwa uwanja bora East Africa.
Kwa maana hiyo inabidi kukaza sana kuwapita kosa jingine tumeamua kupeleka mashindano hayo Arusha ambako mwitiko wa mpira uko chini kujaza uwanja itakuwa kazi.
 
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.

Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19

My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.

Utaipuuza wewe sisi tutaunga mkono
 
Kuna haja ya kujitathimini kwa kina nyie watu
 
Acha CAF wafanye ufunguzi na closure huko Kenya halafu Gen Z watavamia uwanjani Nyayo kwa vurugu kubwa kujaribu kumpata Mr Ruto live ili awajibu kuhusu muswada wa fedha! Kwakuwa Kenya is transparent tutaona tukio live, mpira hautachezeka, siku ingine CAF hawatarudia Kufanya upuuzi huo!! Taifa la soka ni tz , Kenya ni taifa la maandamano na ukabila hilo litajiri mechi Zikianza!!

Hii inanikumbusha vipeperushi vya Kenya vimejaa huku Ulaya vikisema Mt Kilimanjaro uko Kenya, msafara wa Nyumbu uko live Kenya, wazungu wanakwea pipa kwa fujo wakitua Nairobi wanautafuta mlima bila mafanikio na nyumbu hawaonekani, wakiuliza Hotelini Hilton walikolazwa hakuna anaewajibu kisha wahuni wanakuja wazungu wanaingizwa kwenye impala shuttle coasters safari ya bongo inaanza, next time wakirudi Africa huwa wanashukia Kia!!
 
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.

Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19

My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.

…na bado, zile mechi zote zitakazochezwa Arusha Kenya watafaidikanazo zaidi kuliko Tanzania.
Kimikakati ya kiuchumi Kenya inafaidika zaidi na Arusha kuliko Manyara, Singida, na Shinyanga
 
Back
Top Bottom