Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

Tanzania kitu ambacho kinafanya kukosa fursa nyingi za kimataifa ni lugha kingereza kwa sehemu kubwa kimechangia Kenya kuwa na ushawishi mkubwa kimataifa kuliko Tanzania. Mtu ambaye nnaongea lugha moja na kuelewana na kucheka na kuwa na mahusiano mazuri ni rahisi kuaminika kwamba yeye ni bora kuliko asiye jua katika nyanja za kitaifa .Tanzania ina vitu vingi vizuri lakini kinekosa mabolozi wa kuvitangaza.Naamini viongozi wa Mpira huko Kenya huwenda walikuwa wakipiga simu huko CAF na na kuwaambia ABC zote na kutia munyu kidogo na CAF wakawaamini .Na ndivyo hivyo Kenya inavyo ipokonya Tanzania furasa mbalimbali kisa kitu iterations yao na mataifa mengine inanguvu kuliko Tanzania na mataifa mengine
 
Tanzania ni bwana mdogo hapa East Africa.

Miundo-mbinu, lugha, watangazaji, matangazo ya kibiashara, promotion wapo kimya kimya kimataifa hawajimwambafai kama wenzetu wa Uganda na Kenya kuhusu uwezo wa kuanda AFCON 2027.

Habari zote za AFCON 2027 zinatolewa Uganda na Kenya kwa ki English sisi huku tunasumulia ujenzi wa viwanja kwa kiSwahili kwa jumuiya ya kimataifa, hivyo hakuna habari zozote kwa kiEnglish zitokazo Tanzania zilizoandaliwa na waTanzania kuelezea nchi ilivyo tayari mbali ya mpira malazi watalala wapi, wataburudika vipi, mawasiliano ya TEHAMA ni rahisi kiasi gani, usafiri wa ndege mabasi maboti nchini upo vipi. Matangazo ya beer, usafiri, malazi kwa kiEnglish ? Hakuna habari hizo mtambuka kusapoti uwenyeji wetu ili mechi ya fainali ifanyike Tanzania

Wapenzi wetu wa mpira ni wengi ila mahojiano yao yote ni kwa kiSwahili hakuna kijiwe mtaani wala studio katika kituo cha televisheni wala online wanaoendesha mijadala kwa kiEnglish mashabiki wakaelewa Tanzania kupo vipi kimpira na masuala mtambuka.

Hakuna kiEnglish Azam TV, Uhuru FM, Wasafi wala Clouds Media n.k Matangazo ya kibiashara yaliyosukwa Tanzania kwa kiEnglish hakuna, corporate CEO wanaoongea kiEnglish hawapo ktk TV Stations main media wala Online media. Wote wanatema kiSwahili muda wote hata katika mikutano ya kimataifa inayofanyika Tanzania iwe Arusha, Dar es Salaam na Zanzibar hadi wanaohudhuria wanaumia masikio kwa kuvaa headphones wakati Tanzania lugha ya kiingereza ni lugha rasmi ya biashara, mahakama na serikali...

Ushawishi / Lobbying katika masuala ya kimataifa Tanzania inategemea hisani haina juhudi kimataifa kuji brand

View: https://m.youtube.com/watch?v=fPnSlGBfqGY&pp=ygUOU2hhYmlraSAgU2ltYmE%3D

Daaah umegongelea msumari japo unauma. Tanzania mambo mengi bado sana. Niliingia mtandaoni X nikakuta space inawatu zaidi ya laki tatu wanajadili mwenendo wa nchi yao. Bongo niujinga tu
 
Tanzania kitu ambacho kinafanya kukosa fursa nyingi za kimataifa ni lugha kingereza kwa sehemu kubwa kimechangia Kenya kuwa na ushawishi mkubwa kimataifa kuliko Tanzania. Mtu ambaye nnaongea lugha moja na kuelewana na kucheka na kuwa na mahusiano mazuri ni rahisi kuaminika kwamba yeye ni bora kuliko asiye jua katika nyanja za kitaifa .Tanzania ina vitu vingi vizuri lakini kinekosa mabolozi wa kuvitangaza.Naamini viongozi wa Mpira huko Kenya huwenda walikuwa wakipiga simu huko CAF na na kuwaambia ABC zote na kutia munyu kidogo na CAF wakawaamini .Na ndivyo hivyo Kenya inavyo ipokonya Tanzania furasa mbalimbali kisa kitu iterations yao na mataifa mengine inanguvu kuliko Tanzania na mataifa mengine
Huwa nikisema sana humu jf lugha ya kufundishia bongo ni lazima sasa iwe English na iwe kuanzia vidudu hadi chuo ila pinga pinga wamejaa bongo na wengi ni wazee wa kipindi cha mwalimu.

Hawa wazee wakifa wote hilo litakuja automatically na ndipo uchumi wa Kenya utalazwa chali. Mabalozi wetu nje ya nchi karibu wote ni wazee wasioweza kuzungumza English japo kwa nusu saa , hawana faida yoyote huko ughaibuni, hakuna fursa wanazotengeneza kwa wabongo na kiswahili chao!

The world language is English, let us continue to defy the reality and bear the consequences.
 
Ninapenda ianguke kwani imesimama? Nikuulize, Tanzania inapeleka washiriki wangapi kwenye michezo ya Olympics kesho kutwa ambayo ni mikubwa kuliko hiyo AFCON? Au hata hilo utasema mimi ndio nimezuia?
Mashindano CAF Kati Ya Kenya na Tanzania NCHI gani inapeleka TIMU nyingi?
 
Huwa nikisema sana humu jf lugha ya kufundishia bongo ni lazima sasa iwe English from na iwe kuanzia vidudu hadi chuo ila pinga pinga wamejaa bongo na wengi ni wazee wa mwalimu.

Hawa wazee wakifa wote hilo litakuja na ndipo uchumi wa Kenya utalazwa chali. Mabalozi wetu ni wazee wasioweza kuzungumza English kwa nusu saa , hawana faida huko ughaibuni, hakuna fursa wanazotengeneza na kiswahili chao!

The world language is English, let us continue to defy the reality.
Mkuu.

China wanatumia lugha gani kufundishia?
 
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.

Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19

My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.

Kwanza Nani Ana shida na AFCON huku Bara..
Wapeleke Visiwani
 
March 2024
Kampala, Uganda

CAF Inspectors Highly Impressed by Hamz Stadium Ahead of CHAN & AFCON 2027

View: https://m.youtube.com/watch?v=27qXVpS87A8

The impressive Hamz Stadium, constructed by tycoon Hamis Kiggundu, has left a lasting impression on the Confederation of African Football (CAF) inspectors ahead of the CHAN and AFCON 2027 tournaments. This third inspection visit, following previous ones in July 2023 and February 2024, comes after the First Lady and Minister of Education and Sports praised the facility during her visit in February 2024 ......
 
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.

Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19

My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.

Bora zipigwe Kenya, nchi ya kizezeta hii haifai
 
Sidhani caf wameshaamua ila nakumbuka rais wa caf msouth yule alisha ongea ufunguzi utafanyika hapa Tanzania ile kauli imeshatolewa ndio imeshakuwa hivyo hao kenya wanaweweseka tu.
 
My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.
Nikusaidie pia kupata jibu.

Kama habari hiyo ina ukweli wowote jaribu pia kujiuliza maswali kwa nini iwe hivyo?
 
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.

Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2 zifanyike Nairobi wakati Tanzania tuna uwanja mkubwa wa Taifa na Mashariki wa ukweli wa soka? Je hii ni fair? 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=89flDr5OmANfZTUlMkPwvQ&s=19

My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.

Wamesema fainali wapi?
 
Mkuu.

China wanatumia lugha gani kufundishia?
Hii ni point inatumiwa zaidi kupinga matumizi ya English kama lugha ya kufundishia mashuleni but kwa maoni yangu huwezi kulinganisha mahitaji ya maskini (Tz) na tajiri(China).

China ni second wolrd largest economy ambayo tunavyoenda itaipiku US na kuwa super power. Unaanzaje kuilinganisha na nchi masikini kama tz?

China wanatumia Chinese, uwezo wa kuandika vitabu in Chinese wanao, technology iko juu na China hawahitaji kukopa vimikopo kama bongo.

Sisi tuna njaa, hatuna technology, hatuna elimu bora, hatuna capital, tunahitaji fursa,watalii, mikopo na misaada, kwa dunia ilipo sasa tunahitaji kufundishana kwa nguvu, kuanzia vidudu, lugha ya kusaka fursa, mikopo na misaada, na lugha hiyo ni English.

Tunakipenda sana kiswahili chetu tuendelee kuongea mitaani ila sio shuleni, sababu kiswahili ndio barrier namba moja kwenye ushiriki wetu katika uchumi wa dunia. We are left aside kama kisiwa!! Wazee hawataki kusikia ila huu ni ukweli mchungu!!

Mtandaoni kumejaa call for proposals , jobs, scholarships na mikopo ila kwa kuwa hatujui English fursa hizo zinaishia Kenya, Ghana, Nigeria etc.

Kenya wanaongea English mbovu but kila mtu ana NGO hadi vichochoroni akiajiri ndugu na marafiki zake wanakula tu pesa za wazungu, sisi graduates wetu wote wanahaha kupata ajira za sirikali maana sekta binafsi haina ajira za kutosha, job vacancy moja waombaji elfu 20!!

Hebu nenda Doha au Dubai airports uone wakenya wamejaa wanaendesha forklifts za parcels!

Diaspora wanajua umuhimu wa lugha ya kiingereza, waulize wakwambie!!
 
Diplomasia yenu mlituambia imeimarika sana kwa sasa,kiko wapi?
 
Hii ni point inatumiwa zaidi kupinga matumizi ya English but kwa maoni yangu huwezi kulinganisha mahitaji ya maskini (Tz) na tajiri(China)

Angalizo hili kila mzalendo uchwara na chawa, walisome kwa umakini hoja hii nzito ya kweli itakayo tukwamua kimataifa na hata kuvutia uwekezaji pia wageni watembezi.
 
Kwanini CAF imeamua mechi za ufunguzi na fainali za AFCON 2027 kuchezwa Kenya wakati Tanzania imekuwa juu ya Kenya muda mrefu katika mpira na hata pia hamasa ya mpira Tanzania ni kubwa kuliko Kenya?

Katika mashindano makubwa kama haya mechi za ufunguzi na fainali ndizo za muhimu zaidi kuyatangaza mashindano na nchi husika kwa ujumla, sasa Tanzania kupuuzwa na CAF na kunyimwa mechi zote mbili ina maana gani?

Je, TFF na Wizara ya Michezo wachukue hatua gani?

Ni bora haya mashindano yagomewe tu na Tanzania.
 
My Take
Kama hizo taarifa ni za kweli hiyo Afcon yenyewe Haina maana na bila shaka Watanzania wataipuuza.
Ukitaka kujua ujinga ni kitu gani, shuhudia mawazo kama haya hapa!
Ujuha na kushindwa mbinu kwa viongozi wenu, sasa unataka kuueneza kwa waTanzania wote?

Badala ya waTanzania kupuuza, sasa ndiyo wangekaza zaidi kuwafedhehesha hao matapeli kwa kuchukua ubingwa na kuuleta hapa.

Watu wengine akili zenu zimejaa matope sana!
 
Back
Top Bottom