johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.
Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa aliyeteuliwa na Rais Magufuli.
Kama kweli CHADEMA hawataki kushiriki vikao vya bunge basi wamvue uanachama mh Aida aliyeko bungeni.
Viti maalumu ( wanawake) ni fursa kwa wanawake wa Tanzania na siyo chama cha siasa kama wanavyofanya CHADEMA.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!