johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Ndio huyo anayeitwa Mnyika ameyawakilisha NEC!Majina anawasilisha jatibu mkuu siyo bawacha wee jie moyo tu .
Ndio huyo anayeitwa Mnyika ameyawakilisha NEC!Majina anawasilisha jatibu mkuu siyo bawacha wee jie moyo tu .
Tundu Lisu amenuna hataki waende kuapishwa!
Cha muhimu ni uanachama wake na kadi baraka hutolewa kanisani!Hana baraka za chama
Bila kumsahau Mama Janet na mke wa Majaliwa.Kama viti maalum ni dili basi mwambieni mke wa Sirro, Mahera, Diwani, Mihayo wachukue kadi za Chadema fasta kisha muwape viti maalum.
Lakini mwanachama wa Chadema mwenyw kujitambua hawezi kushiriki uhuni waliofanyiwa wananchi
Wee ueleweki mara bawacha mara mnyika which is which.Ndio huyo anayeitwa Mnyika ameyawakilisha NEC!
Basi waambieni watoa misaada kuwa mna mbunge mmoja wa Chadema.Cha muhimu ni uanachama wake na kadi baraka hutolewa kanisani!
Kwani Bawacha na Mnyika hawako Chadema bwashee?Wee ueleweki mara bawacha mara mnyika which is which.
Tanzania ni taifa linalojitegemea manka.Basi waambieni watoa misaada kuwa mna mbunge mmoja wa Chadema.
Hela za Corona hawakuombwa walijipendekeza wenyewe!Ili nalo linaweza kuwa jibu la hela za Corona zipo wapi
Cc: Bunge la ulaya
Sasa kama nikwaajili ya wanawake wa tanzania kwanini unaisakama chadema.Kwani wanawake wa tanzania wako chadema tu?.ujinga mzigo.Hivyo viti maalumu ni kwa ajili ya Wanawake wa Tanzania siyo Chadema!
CHADEMA ndio wanawafanyia mtimanyongo wenzao CCM wamewaruhusu kitambo!Sasa kama nikwaajili ya wanawake wa tanzania kwanini unaisakama chadema.Kwani wanawake wa tanzania wako chadema tu?.ujinga mzigo.
Mbona mme panic na kuwaita waheshimiwa wa EU hooligans baada ya kuminyiwa chochote kwenye bakuli. Madini yanayotoka kwenye lile “Banda” la Chadema yanailaza Magogoni macho.Tanzania ni taifa linalojitegemea manka.
Hapo Ufipa ndio mnategemea misaada hata hilo banda ni la bob makani!
Kwani Bawacha na Mnyika hawako Chadema bwashee?
Hakuna aliyepanic manka.Mbona mme panic na kuwaita waheshimiwa wa EU hooligans baada ya kuminyiwa chochote kwenye bakuli. Madini yanayotoka kwenye lile “Banda” la Chadema yanailaza Magogoni macho.
Hata kwa posta inawezekana bwashee!Kwa hiyo yeyote anaweza kupeleka majina ?
Sasa ulitaka CDM wamfunge kamba?Huyo muda si mrefu atakuwa mbunge wa CCM kwa tiketi ya CDM kama Mwambe alivyokuwa!Au anaweza kuwa mbunge wa mahakama!Wsende mara mbili?
Mh Aida ana kadi ya chama gani?!
Atawasaidieni kuongeza ruzuku!Sasa ulitaka CDM wamfunge kamba?Huyo muda si mrefu atakuwa mbunge wa CCM kwa tiketi ya CDM kama Mwambe alivyokuwa!Au anaweza kuwa mbunge wa mahakama!
Sasa wewe kihere here front chakuongelea uchaguzi daily unakitoa wapi? Mijitu mingine inazeeka vibaya.Uchaguzi umekwisha watu wanachapa kazi!