Kama CHADEMA ina mbunge halali aliyekwishaapa bungeni kwanini hawa wengine 18 inawazuia? Ushamba mzigo!

Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.

Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa aliyeteuliwa na Rais Magufuli.

Kama kweli CHADEMA hawataki kushiriki vikao vya bunge basi wamvue uanachama mh Aida aliyeko bungeni.

Viti maalumu ( wanawake) ni fursa kwa wanawake wa Tanzania na siyo chama cha siasa kama wanavyofanya CHADEMA.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
We Pimbi kweli na mada zako uchwara , mbona unawashwawashwa Sana Chadema kupeleka wabunge wa viti maalum , tumeshawaambia hatutaki , sasa fanya hivi wewe na mapimbi wenzio wa lumumba , etwege Johnthebabtist , Kawe Alumni , Yehodaya na wenzako vaeni sketi muende mkajaze pengo la wabunge wa viti maalum vya Chadema roho ydko isuuzike au mna lingine bado mna kiu na damu za watu .
 
Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.

Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa aliyeteuliwa na Rais Magufuli.

Kama kweli CHADEMA hawataki kushiriki vikao vya bunge basi wamvue uanachama mh Aida aliyeko bungeni.

Viti maalumu ( wanawake) ni fursa kwa wanawake wa Tanzania na siyo chama cha siasa kama wanavyofanya CHADEMA.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Rubbish
 
Huyo mama alitangulizwa na akina Halima kama chambo tu ili wapime reaction ya chama.

Ikumbukwe mwanzoni kabisa alinukuliwa akiwa upande wa chama ila ghafla akaleta habari za kutowasaliti wanaNkasi.

#MwambaTuvushe.
 
Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.

Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa aliyeteuliwa na Rais Magufuli.

Kama kweli CHADEMA hawataki kushiriki vikao vya bunge basi wamvue uanachama mh Aida aliyeko bungeni.

Viti maalumu ( wanawake) ni fursa kwa wanawake wa Tanzania na siyo chama cha siasa kama wanavyofanya CHADEMA.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa, Chadema is Almost Dead, Due to Death Mistakes!, This Your Only Survival, Do or Die!, Msirudie Kosa!.
p
 
Basi hatuna shida na zawadi wapeni wake zenu.
hahahahaaaaaaa sky bana ulikuwa unaongea utumbo jana wakati ukijuwa kabisa hao chadema siyo wenzako unayofikiria wewe wenzio wako tofauti hiyo saccos ya mbowe wewe unweka msuli kabisa kuitetea ndiyo maana unazeeka wakati bado kijana toka huko kwenye stress karibu nyumbani kumenoga uwe kijana utakufa kwa pressure unawatetewa kwa nguvuuu wenzio wako kimaslahi zaidi sijui na leo utasemaje? mwambie erythrocyte akusaidie mawazo unaweza ukute mwenzio kishahamia ccm
 
Mchakato wa wao kwenda huko bungeni haukuwa na baraka za chama. Hapo ni wazi wametwaa nguvu za kufanya maamuzi za chama. Hilo ni kosa kubwa. Sana.
 
Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.

Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa aliyeteuliwa na Rais Magufuli.

Kama kweli CHADEMA hawataki kushiriki vikao vya bunge basi wamvue uanachama mh Aida aliyeko bungeni.

Viti maalumu ( wanawake) ni fursa kwa wanawake wa Tanzania na siyo chama cha siasa kama wanavyofanya CHADEMA.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Una hoja ya msingi lakini kuna watu wajinga watakupinga
 
Back
Top Bottom