johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Uchaguzi umekwisha watu wanachapa kazi!Kwanini policcm hawashereheki ushindi wao, wanaogopa nini wakati wameshafanya kazi pevu sana
Ndio kifichio chako hichoUchaguzi umekwisha watu wanachapa kazi!
Ndio ukweli mchungu bwashee!Ndio kifichio chako hicho
hii unayochapa hapa ndiyo kazi yako??Uchaguzi umekwisha watu wanachapa kazi!
Uzuri majina yameshawasilishwa na Bawacha!CHADEMA ni chama huru hakipangiwi.
Halima Mdee ndio namba 1 kwenye orodha iliyomfikia Katibu wa bunge!hii unayochapa hapa nidyo kazi yako??
huko bungeni mpelekeni mke wa mahera na mke wa musiba.
Siyo mapenzi ni matakwa ya katiba manka!Mlilalamika wabunge wa Chadema wanachelewesha maendeleo, haya mapenzi na wabunge wa Chadema yameanza lini?
Sasa kama yamesha wasilishwa huu Uzi Wa kazi gani?Uzuri majina yameshawasilishwa na Bawacha!
Chadema hawezi kwenda bungeni, hawaitambui serikali inayoongoza bunge.Siyo mapenzi ni matakwa ya katiba manka!
Majina anawasilisha jatibu mkuu siyo bawacha wee jie moyo tu .Uzuri majina yameshawasilishwa na Bawacha!
Hivyo viti maalumu ni kwa ajili ya Wanawake wa Tanzania siyo Chadema!Kama viti maalum ni dili basi mwambieni mke wa Sirro, Mahera, Diwani, Mihayo wachukue kadi za Chadema fasta kisha muwape viti maalum.
Lakini mwanachama wa Chadema mwenyw kujitambua hawezi kushiriki uhuni waliofanyiwa wananchi
Wsende mara mbili?Chadema hawezi kwenda bungeni, hawaitambui serikali inayoongoza bunge.
Hana baraka za chamaWsende mara mbili?
Mh Aida ana kadi ya chama gani?!
Sasa kama list imeshapelekwa unalalamika nini?Halima Mdee ndio namba 1 kwenye orodha iliyomfikia Katibu wa bunge!