Kama CHADEMA ina mbunge halali aliyekwishaapa bungeni kwanini hawa wengine 18 inawazuia? Ushamba mzigo!

Kwanini mnateseka? Fanyeni yenu MITANO TENA.

DEVELOPMENT HAS NO PARTY.
 
Kama ni vya wanawake na si vya Cdm, mbona unawasakama Cdm ?!. Aibu yenu wezi wakubwa nyie [emoji107]
 
Kaka Chadema akili yao ni kubwa saana kuliko mawazo yako ambayo kwa sasa yamepitwa na wakati.MATAGA walikosea mahesabu toka mwano wakati wanamuandaa huyo mama wa Chadema aliyepita. Wala Chadema hawatakaa wamfukuze nafsi yake tu itamsutu kwa usaliti wake na hatokaa awe na amani bungeni nyoe endeleeni kusubiri atimuliwe eti kusudi mpoteze tena Bilioni moja kumrudisha agombee kama mlivyofanya kinondoni akili ndogo saana
 
Aida anawasubiri akina Halima Mdee!
 
Zingelikuwa teuzi hizo ni za kina (ME) hata aliyekimbia asingekimbia nakwambia!!

Kwa vile nafasi hizo ni za KE, basi
 
Zingelikuwa teuzi hizo ni za kina (ME) hata aliyekimbia asingekimbia nakwambia!!

Kwa vile nafasi hizo ni za KE, basi
Wale mliowadhulumu ktk vituo vya kura mbona hamuwasemei?
Mbona mnahangaika na hawa viti maalumu tu?
Jazieni watu wenu ili mshangilie vizuri
 
CCM kwa nini wanahangaika & wanateseka sana na hawa wabunge 19 kutoingia Bungeni? Hiviii wakati wanapora kura majimboni kote hawakujua kuyaachia walau matano ama sita ya kusukumia kombe.....?
 
Mungu mpe nguvu Halima Mdee,Bulaya,Matiko na wengine kipindi hiki kigumu cha mapambano ndani chama,wapate ushindi waende Bungeni"Aamin"
Chadema wanasema SHETANI HAWEZI KUMSHINDA MUNGU. Sasa tusubiri shetani anayeongoza genge la Mbowe na Mungu anayewapinga Mbowe na genge lake yupi atashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…