King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,351
We Pimbi kweli na mada zako uchwara , mbona unawashwawashwa Sana Chadema kupeleka wabunge wa viti maalum , tumeshawaambia hatutaki , sasa fanya hivi wewe na mapimbi wenzio wa lumumba , etwege Johnthebabtist , Kawe Alumni , Yehodaya na wenzako vaeni sketi muende mkajaze pengo la wabunge wa viti maalum vya Chadema roho ydko isuuzike au mna lingine bado mna kiu na damu za watu .Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.
Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa aliyeteuliwa na Rais Magufuli.
Kama kweli CHADEMA hawataki kushiriki vikao vya bunge basi wamvue uanachama mh Aida aliyeko bungeni.
Viti maalumu ( wanawake) ni fursa kwa wanawake wa Tanzania na siyo chama cha siasa kama wanavyofanya CHADEMA.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Wamemaliza kuapa muda huu.CHADEMA ni chama huru hakipangiwi.
mbona Zanzibar hakuna makamu wa raisi matakwa ya katiba yanasemaje?Siyo mapenzi ni matakwa ya katiba manka!
Yuko ulayaKwani Tundu Lisu yuko ACT wazalendo?
RubbishHaiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.
Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa aliyeteuliwa na Rais Magufuli.
Kama kweli CHADEMA hawataki kushiriki vikao vya bunge basi wamvue uanachama mh Aida aliyeko bungeni.
Viti maalumu ( wanawake) ni fursa kwa wanawake wa Tanzania na siyo chama cha siasa kama wanavyofanya CHADEMA.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa, Chadema is Almost Dead, Due to Death Mistakes!, This Your Only Survival, Do or Die!, Msirudie Kosa!.Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.
Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa aliyeteuliwa na Rais Magufuli.
Kama kweli CHADEMA hawataki kushiriki vikao vya bunge basi wamvue uanachama mh Aida aliyeko bungeni.
Viti maalumu ( wanawake) ni fursa kwa wanawake wa Tanzania na siyo chama cha siasa kama wanavyofanya CHADEMA.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Hatimaye mmeufyata bwashee!Rubbish
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiWamemaliza kuapa muda huu.
Lissu kule ulaya atafute shughuli nyingine ya kufanya itakayomuingiza pato. Huku tumeshamaliza suala zima la uchaguzi.Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Namuona Kafulila ameagiza mbuxi mzima hapa Break point sijajua ana sherehekea nini!!Lissu kule ulaya atafute shughuli nyingine ya kufanya itakayomuingiza pato. Huku tumeshamaliza suala zima la uchaguzi.
Unamaanisha kuwa CCM wanavyopangiwa na Magufuli hawako huru?.Mbona Mbowe anakipangia? Huru iko wapi Sasa?
Na hao walioapa Leo Nani kawapa andazi? Nyumbu lini mtapata akili? Mmetoa povu weeee machadema hayooo bungeni Sasa mtaanza matusi.Mliamka usingizini ndiyo mkampa andazi yule wa Nkasi
Nilimwambia nyumbu hamjielewi, Sasa Soma Tena utopolo ulioandika.Mbowe haishi kwa ubwabwa wa huruma kutoka CCM kama wewe.
hahahahaaaaaaa sky bana ulikuwa unaongea utumbo jana wakati ukijuwa kabisa hao chadema siyo wenzako unayofikiria wewe wenzio wako tofauti hiyo saccos ya mbowe wewe unweka msuli kabisa kuitetea ndiyo maana unazeeka wakati bado kijana toka huko kwenye stress karibu nyumbani kumenoga uwe kijana utakufa kwa pressure unawatetewa kwa nguvuuu wenzio wako kimaslahi zaidi sijui na leo utasemaje? mwambie erythrocyte akusaidie mawazo unaweza ukute mwenzio kishahamia ccmBasi hatuna shida na zawadi wapeni wake zenu.
sijui hao walioingia bungeni jana ndiyo wake zetu hahahahaaaaa nacheka kwa zaraaaaauuuuu poleni sana kina sky na erythrocyteBasi hatuna shida na zawadi wapeni wake zenu.
Una hoja ya msingi lakini kuna watu wajinga watakupingaHaiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa.