Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

watulize visimb wakat bi kidude anatawazwa idodomya mbona walikata had shanga.
 
Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
Anakisaidi uishi vizuri halafu eti umechoka
 
Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
Mbona CCM mnavunja katiba ya nchi na karibuni mumevunja katiba ya chama chenu, kwa kupitisha mgombea Urais bila hata chembe ya aibu, mnapata wapi nguvu ya kuisema chadema!
 
Kazi ya ukombozi wa taifa lililojaa ufisadi, uchawa, kuabudu viongozi , kutoheshimu katiba, ujinga, umaskini, na maradhi ni kazi kubwa kwa kweli
 
Mbona CCM mnavunja katiba ya nchi na karibuni mumevunja katiba ya chama chenu, kwa kupitisha mgombea Urais bila hata chembe ya aibu, mnapata wapi nguvu ya kuisema chadema!
Hiyo mada hapa sio mahala pake
 
Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
Lissu si mroho wa madaraka kama ccm wanajipitisha wenyewe .
 
Kwa kweli NO REFORMS NO ELECTION imewavuruga mno.
Yes,
viongozi na wana chama wa chadema hawaielewi kabisa kwamba ni kususia uchaguzi ama laa?

Anejua maana yake ni kiongozi kibaka na tapeli wa siasa chadema pekeyake 🐒
 
Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
Hao ni vibaka na matapeli wa kisiasa
 
Yes,
viongozi na wana chama wa chadema hawaielewi kabisa kwamba ni kususia uchaguzi ama laa?

Anejua maana yake ni kiongozi kibaka na tapeli wa siasa chadema pekeyake 🐒
Aha ndio akajiteua kugombea urais mapema,kibaka aambiwe amevunja katiba ya CCM ibara ya 103 na 107,anayejua maana yake ni kiongozi kibaka mroho wa madaraka.
 
elezea wadau vizuri kwa kina kifupi kidogo gentleman,
Jitahidi kua mtulivu, okay?🐒
 
Mwalimu Maganga Japhet alikataa uteuzi wa bi tozo kwenda kuwa mkuu wa wilaya , akaundiwa zengwe na kusimamishwa kazi 2023.

Sasa je kwenye katiba kuna mahali pameandikwa lazima ukubali uteuzi hata kama huhitaji?

Mwalimu Maganga Japheth akafukuzwa kazi ambayo kisheria alishaacha siku nyingi, nyie washauri wa bi tozo mnamfanya azidi kuonekana kichwani mweupe siku hadi siku.

Juzi mwanachama mwingine katimuliwa uanachama kwa kusema bi tozo kajiteua kuwa mgombea urais kinyume na kanuni je CCM mnaishi ahadi yenu ya 8 ,nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko?

Au mkishapewa fulana na kofia mnaimba harambee mama harambee..?

Back
Top Bottom