Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
una elimu gani?sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...
sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?
Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....
La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
ulisomea nini?
chuo gani?
umri gani?
ulianza lini kufuatilia siasa za Tanzania?
unajua maana ya katiba?
unajua sifa za mtu kuwa mbunge kwa mujibu wa katiba ya JMT
Nani anapaswa kusema huyu ni mbunge na huyu siyo mbunge ni nani kwa hiyo katiba
alifanya nn baada ya chadema walivyofanya waliyonya?
una akili timamu?
nini kimekusukuma kuandika haya?
naomba majibu na matusi pia nitayapokea
asante