Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

Na Hilo ni la kuwalaumu chadema kweli!!?

Tujibu hoja zao tuache vioja!!

Kwani!!

System ilishindwa kumshauri jpm asi rig uchaguzi Hadi kuiaibisha ccm ikaingiza mamluki Kwa mlango was nyuma Bungeni!!?

Kabla hujailaumu chadema kilaumu chama chetu CCM Kwa kushangilia kupita bila kupingwa Hadi tukatengeneza Bungee Batili lisilokua na wapinzani Bungeni Hadi ikalazimika kuingiza wabunge wa mchongo batili Bungeni!!

System ya usalama na Dola ilifeli Sana kuruhusu yale kutokea!!
Ni wajinga tu ndio wanailaumu chadema
 
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...

sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?

Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....

La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
Post kama hizi ndizo zinafanya tukishaona ID tunajua moja kwa moja huyu atakuwa kaandika upumbavu, kiufupi wewe ni mpumbavu
 
KWANI CHADEMA inatakiwa ifanye nini?
Inaonekana suala la Covid 19 ni geni kwako
Chadema ilikwishawafukuza uanachama wakakata rufaa Mahakama ikathibitisha kuwa kufukuzwa kwao Chadema ilifuata taratibu zote kwa mujibu wa katiba yao
Chadema ikalitaarifu bunge tena
Lakini Bunge halitaki kuwaondoa bungeni licha ya kuwa sio wanachama je unataka chadema ikawatoe kwa nguvu
Ccm ina maslahi makubwa na covid 19 kuendelea kuwa ubungeni ndio maana inawalipa kodi zenu kama mishahara hata kuingia na kuapishwa kulifanyika kihuni
kwani Chadema inatakiwa kufanya nini?
this is very strong and significant question, politically speaking. and the answer is simple 🐒

THAT IS PARTY THINK THANK ACTIVITY. TO GIVE POLITICAL, SOCIAL AND ECONOMIC DIRECTIONS OF THE PARTY.

chama kimeamua, mahakama imeamua, bunge halitaki, right?

so,
kama bungee halitaki, ndio imeisha hiyo right?

again on that, PARTY THINK THANKERS WOULD HAVE GIVE POLITICAL OR SOCIAL DIRECTIVES ON WHAT TO DO OR WHERE TO GO......

sasaivi hamna wa kumlaumu ndani ya chama chenu, mnamlaumu yule yule ambae anajua kazi yenu ni kulaumu tu kwa kila kitu, CCM🐒

kwasabb mpka sasa hata kwa hao wabunge wenyewe kuna wengine ndani ya Chadema wanaona ni sawa na ni haki wale ni wabunge halali, lakini wengine wanaona sio sawa 🐒

kungekua na chombo mahususi, jambo hili lingetamatika kitambo na chama hiki kingeaminika zaidi. Lakini kwa sasa mtaendelea kujipa moyo tu mitandaoni, mkifika field mambo ni tofauti kama ambavyo tumeshuhudia maandamano dhaifu sana hivi karibuni 🐒
 
Post kama hizi ndizo zinafanya tukishaona ID tunajua moja kwa moja huyu atakuwa kaandika upumbavu, kiufupi wewe ni mpumbavu
to me,
that is your problem, it has nothing to do with me 🐒

huku jimboni kuna wanainchi wa mihemko kama wewe, ni wakali sana na siku zingine mwingine alijaribu kutaka kunipiga kwenzi, nikampa za uso, lakini akanyoroshwa zaidi na security. na wengi wao ni wavivu tu kama wewe 🐒

hata hivyo hakuna namna, ni wanainchi wangu, nawapenda sana, na daima,
nasonga nao bila mbambamba yoyote wala kukata tamaa 🐒
 
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...

sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?

Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....

La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
UPUMBAFU NI KIPAJI NA WW UNACHO, CHAMA KILISHAWAVUA UANACHAMA NYINYI MACCM NA MAHAKAMA YENU HARAMU MKAWAKUMBATIA MPAKA LEO SIKU NYINGINE ACHA USE...
 
unaubadilishaje mfumo kama huna vibrant, committed and united opposition?🐒

huwezi,
utaishia kulalamika na kulaumu lakini hakuna atakae kusaidia ikiwa unashindwa kudeal hata na mambo yako mwenyewe 🐒

mtaishia tu kupeana moyo mtandaoni, aah Fulani ni kiboko ya serikali, mapema tu tunachukua nchi as if mnagombea wenyewe tu na wengine hawatamani kuchukua hiyo nchi 🤣
Mkuu the first paragraph unaongea sense, the second one yeeah you are doing good, the third one is trash kwanini umejitoa ? Why ? Sababu me mwenyewe sio chadema wala opposition wala sisiem ila it doesnt take sides to know ccm is fuwked up..does it ?. Ila nakwambia one day people are going to collect…
 
my friend,

huwez fanya lolote kwenye jambo dogo, atakuamini nani ati unaweza fanya jambo kubwa, gentleman 🐒

one day wishers ni wale walio kata tamaa completely, hawana uelekeo tena 🐒

Chadema kuendelea kufuata sauti ya mwenyekiti au makamu mwenyekiti hakuna kitu itafanyika. sabotaging ni disaster kwa ustawi wa chama 🐒
 
UPUMBAFU NI KIPAJI NA WW UNACHO, CHAMA KILISHAWAVUA UANACHAMA NYINYI MACCM NA MAHAKAMA YENU HARAMU MKAWAKUMBATIA MPAKA LEO SIKU NYINGINE ACHA USE...
relax bas, hiyo panic na mihemko si muhimu kwangu, ni useless..🐒

eeh back to the motion.....

ndio sasa,
mmeshajua wamekumbatiawa na mahakama. kwahiyo akili, maarifa na mbinu za kisiasa za Chama kizima cha Chadema zikagota hapo hapo..

kwamba hamna tena cha kufanya kutoka kwenye mkwamo huu, mkaridhika right?

meaning kwamba you don't have party think so that to advise the party on the way to go or more measures to take 🐒
 
my friend,

huwez fanya lolote kwenye jambo dogo, atakuamini nani ati unaweza fanya jambo kubwa, gentleman 🐒

one day wishers ni wale walio kata tamaa completely, hawana uelekeo tena 🐒

Chadema kuendelea kufuata sauti ya mwenyekiti au makamu mwenyekiti hakuna kitu itafanyika. sabotaging ni disaster kwa ustawi wa chama 🐒
Mzee let me deal with your second paragraph we mzee watu wako wanasimamia mambo yao kama mandela na yanatokea so usikatishe tamaa watu because wewe uko na njia nyingine ya ku haso, si ni sawa tu ? We kwan unataka rishafo ? Au you are comfortable as we speak ?
 
good luck gentleman 🤞

but,
in global area, these are common processes in resolving disputes....

negotiations
mediations
arbitrations and
the use of force 🐒

no failure on application of these procedures in attaining peace 🐒

matured political institutions must set it's principals and standards in the process of attaining its goals, missions and objectives 🐒

otherwise,
blablaa mpaka ukamilifu wa dahari 🐒
 
Sikukosea,nilikua na kuheshimu lakini kwaajili andiko na ukweli wa mambo ulivyo kuamini kuwa CDM wamesbindwa hili ni kukosea upeo mzuri wa kufikiri.

Ilikua CDM against

1.Bunge.
2.Msajili wa vyama.
3.Rais.
4.Mahakama
5.CCm

Kama hapa hukaelewa basi kuna shida kichwani kwako.
 
Na Hilo ni la kuwalaumu chadema kweli!!?

Tujibu hoja zao tuache vioja!!

Kwani!!

System ilishindwa kumshauri jpm asi rig uchaguzi Hadi kuiaibisha ccm ikaingiza mamluki Kwa mlango was nyuma Bungeni!!?

Kabla hujailaumu chadema kilaumu chama chetu CCM Kwa kushangilia kupita bila kupingwa Hadi tukatengeneza Bungee Batili lisilokua na wapinzani Bungeni Hadi ikalazimika kuingiza wabunge wa mchongo batili Bungeni!!

System ya usalama na Dola ilifeli Sana kuruhusu yale kutokea!!
yaani hawa wataishia kulaumu, kulaumiana na kuilalamikia CCM maisha yao yote.....

but without alternative plans and strategies, to attract and win the support of wanainchi wataimba sana sana mara kuibiwa kura, mara katiba mpya, mara ugumu wa maisha, mara tume huru but hakuna kitu watafanya zaidi ya kulalamika tu 🐒
Umevimbiwa.makande dogo
 
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...

sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?

Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....

La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
Swala la hao wabunge Covid-19 haliko mikononi mwa Chadema, acha ujinga wa kulazimisha jambo. Mahakama ilikwisha sema hao si wanachama wa Chadema ila wewe bado unalazimisha ili mradi uiseme Chadema! Huu ni ujinga kutaka tujadili jambo ambalo liliamriwa na mahakama, kwa kifupi ni wabunge wasio na chama na wamo bungeni kwa hisani ya CCM.
 
We jamaa Leo umekwama Sana

Kuhusu Covid 19 -IPO chini ya Ccm

Na hauwezi kuandamana ili kuiingiza nchi ktk VITA kisa hao Civid 19.

Kitendo cha yule mbunge kutolewa gerezani randomly ilikuwa ni maamuzi ya Ccm

So kuwa logically
 
okay,
let's wait and see 🐒

but nikuhakikishie hawa jamaa hawana physical persons, ispokua ni kelele mitandao tu 🐒

lakini pia think tank hawana kabisaa yaani 🐒

hoja ya katiba unaichochea akati huna hata wabunge 50 mjengoni, real?

unatumia nini kufikiria? kwamba hoja yako itakua ya maana sana wale wengine waikubali tu kwamba wao na chama chao hawana issues wanazotaka ziwepo kwenye katiba kama wapendavyo wao, wanakupenda sanaeee 🐒

hii siasa bila maono na dhamira name mipango ya maana utalalamika maisha yako yote, huwezi saidika wala kusaidia chochote 🐒
Dogo ukishiba maharage tunakuja kujamba JF
Unaandika upumbavu
 
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...

sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?

Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hunaaawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....

La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
Unaa wa kichawa ndio unaokwamisha maendeleo ya taifa hili,wale wamekubali kuwa chawa wa gereji wenu tena kwa ahadi mnazojua halafu unaleta kebehi zako,hayo ndio yanayofanya chama lako chakavu kutumia mbeleko siku zote kuhakikisha uwepo wake🤪
 
Back
Top Bottom