Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

Ni wajinga tu ndio wanailaumu chadema
 
Post kama hizi ndizo zinafanya tukishaona ID tunajua moja kwa moja huyu atakuwa kaandika upumbavu, kiufupi wewe ni mpumbavu
 
kwani Chadema inatakiwa kufanya nini?
this is very strong and significant question, politically speaking. and the answer is simple πŸ’

THAT IS PARTY THINK THANK ACTIVITY. TO GIVE POLITICAL, SOCIAL AND ECONOMIC DIRECTIONS OF THE PARTY.

chama kimeamua, mahakama imeamua, bunge halitaki, right?

so,
kama bungee halitaki, ndio imeisha hiyo right?

again on that, PARTY THINK THANKERS WOULD HAVE GIVE POLITICAL OR SOCIAL DIRECTIVES ON WHAT TO DO OR WHERE TO GO......

sasaivi hamna wa kumlaumu ndani ya chama chenu, mnamlaumu yule yule ambae anajua kazi yenu ni kulaumu tu kwa kila kitu, CCMπŸ’

kwasabb mpka sasa hata kwa hao wabunge wenyewe kuna wengine ndani ya Chadema wanaona ni sawa na ni haki wale ni wabunge halali, lakini wengine wanaona sio sawa πŸ’

kungekua na chombo mahususi, jambo hili lingetamatika kitambo na chama hiki kingeaminika zaidi. Lakini kwa sasa mtaendelea kujipa moyo tu mitandaoni, mkifika field mambo ni tofauti kama ambavyo tumeshuhudia maandamano dhaifu sana hivi karibuni πŸ’
 
Post kama hizi ndizo zinafanya tukishaona ID tunajua moja kwa moja huyu atakuwa kaandika upumbavu, kiufupi wewe ni mpumbavu
to me,
that is your problem, it has nothing to do with me πŸ’

huku jimboni kuna wanainchi wa mihemko kama wewe, ni wakali sana na siku zingine mwingine alijaribu kutaka kunipiga kwenzi, nikampa za uso, lakini akanyoroshwa zaidi na security. na wengi wao ni wavivu tu kama wewe πŸ’

hata hivyo hakuna namna, ni wanainchi wangu, nawapenda sana, na daima,
nasonga nao bila mbambamba yoyote wala kukata tamaa πŸ’
 
UPUMBAFU NI KIPAJI NA WW UNACHO, CHAMA KILISHAWAVUA UANACHAMA NYINYI MACCM NA MAHAKAMA YENU HARAMU MKAWAKUMBATIA MPAKA LEO SIKU NYINGINE ACHA USE...
 
Mkuu the first paragraph unaongea sense, the second one yeeah you are doing good, the third one is trash kwanini umejitoa ? Why ? Sababu me mwenyewe sio chadema wala opposition wala sisiem ila it doesnt take sides to know ccm is fuwked up..does it ?. Ila nakwambia one day people are going to collect…
 
my friend,

huwez fanya lolote kwenye jambo dogo, atakuamini nani ati unaweza fanya jambo kubwa, gentleman πŸ’

one day wishers ni wale walio kata tamaa completely, hawana uelekeo tena πŸ’

Chadema kuendelea kufuata sauti ya mwenyekiti au makamu mwenyekiti hakuna kitu itafanyika. sabotaging ni disaster kwa ustawi wa chama πŸ’
 
UPUMBAFU NI KIPAJI NA WW UNACHO, CHAMA KILISHAWAVUA UANACHAMA NYINYI MACCM NA MAHAKAMA YENU HARAMU MKAWAKUMBATIA MPAKA LEO SIKU NYINGINE ACHA USE...
relax bas, hiyo panic na mihemko si muhimu kwangu, ni useless..πŸ’


eeh back to the motion.....

ndio sasa,
mmeshajua wamekumbatiawa na mahakama. kwahiyo akili, maarifa na mbinu za kisiasa za Chama kizima cha Chadema zikagota hapo hapo..

kwamba hamna tena cha kufanya kutoka kwenye mkwamo huu, mkaridhika right?

meaning kwamba you don't have party think so that to advise the party on the way to go or more measures to take πŸ’
 
Mzee let me deal with your second paragraph we mzee watu wako wanasimamia mambo yao kama mandela na yanatokea so usikatishe tamaa watu because wewe uko na njia nyingine ya ku haso, si ni sawa tu ? We kwan unataka rishafo ? Au you are comfortable as we speak ?
 
good luck gentleman 🀞

but,
in global area, these are common processes in resolving disputes....

negotiations
mediations
arbitrations and
the use of force πŸ’

no failure on application of these procedures in attaining peace πŸ’

matured political institutions must set it's principals and standards in the process of attaining its goals, missions and objectives πŸ’

otherwise,
blablaa mpaka ukamilifu wa dahari πŸ’
 
Sikukosea,nilikua na kuheshimu lakini kwaajili andiko na ukweli wa mambo ulivyo kuamini kuwa CDM wamesbindwa hili ni kukosea upeo mzuri wa kufikiri.

Ilikua CDM against

1.Bunge.
2.Msajili wa vyama.
3.Rais.
4.Mahakama
5.CCm

Kama hapa hukaelewa basi kuna shida kichwani kwako.
 
Umevimbiwa.makande dogo
 
Swala la hao wabunge Covid-19 haliko mikononi mwa Chadema, acha ujinga wa kulazimisha jambo. Mahakama ilikwisha sema hao si wanachama wa Chadema ila wewe bado unalazimisha ili mradi uiseme Chadema! Huu ni ujinga kutaka tujadili jambo ambalo liliamriwa na mahakama, kwa kifupi ni wabunge wasio na chama na wamo bungeni kwa hisani ya CCM.
 
We jamaa Leo umekwama Sana

Kuhusu Covid 19 -IPO chini ya Ccm

Na hauwezi kuandamana ili kuiingiza nchi ktk VITA kisa hao Civid 19.

Kitendo cha yule mbunge kutolewa gerezani randomly ilikuwa ni maamuzi ya Ccm

So kuwa logically
 
Dogo ukishiba maharage tunakuja kujamba JF
Unaandika upumbavu
 
Unaa wa kichawa ndio unaokwamisha maendeleo ya taifa hili,wale wamekubali kuwa chawa wa gereji wenu tena kwa ahadi mnazojua halafu unaleta kebehi zako,hayo ndio yanayofanya chama lako chakavu kutumia mbeleko siku zote kuhakikisha uwepo wakeπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…