Vyote kwa pamojaShida ni mwalimu au chaumma mkuu?
Labda ukijumlisha na Zanzibar, inawezekana zikawa 945,350 Total Presidential votes both Tz mainland na Tz visiwani
Hivyo Viti Maalum watavipataje?.
Hivyo Viti Maalum watavipataje?.
Bora nimpe kura mpina japo naichukia ACT sababu ya ayatolahNimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia. Safari hii CCM watazoa kura kwa asilimia 99.
Upinzani nchi hii bado sana.
Za kwao zimeshaandaliwa