Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
kata kabisa na cable wapotee milele mijitu inatapakaza ghasia tu
hayo maoni yako,ila ukiwazacho hakitatokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kata kabisa na cable wapotee milele mijitu inatapakaza ghasia tu
sasa wewe unategemea lipi jema kutoka kwa hao jamaa.?hiyo dini ni ya mafreemason,na wanaamini katika lucifer,hata kitabu chao ni kimetungwa tu na akina paul na baadae kufanyiwa marekebisho na kina constantine,ni imani iliyobase au kuchukua mafunzo ya kipangani ya zama za kale.huo ndo ukristo.ndo maana hata biblia inaji CONTRADICT yenyewe,aya hii inasema hivi,nyingine inasema kinyume.
mbona tbc walitangaza sensa ya wakirsto na waislam hawajafungiwa.
Umesoma kitabu cha aya za shetani? Satanic vesses in quran . Wake up my brother you are lost.
Ila TCRA hawakufanya justice, Radio Imani inaonekana kabisa wamehukumiwa kwa kosa wasiloshitakiwa nalo na wanakosa watetezi kutokana na record zao. Jembe likiitwa Jembe Radio imani inatakiwa kupigwa faini kama clouds. Yaani kosa la kuhamasisha sensa na kuhamasisha jicho la ng'ombe hakuna mjadala, la clouds linapunguza mpaka idadi ya watu manake hawatazaliana tena.
Hata huyo mtangazaji wa clouds alitakiwa kwenda jela manake kuna ambao wamefungwa kwa kutaka kuiba lakini hawakufanikiwa kuiba.
Songambele unajua ukiueleza ukweli,vipofu watakuja kukupinga,nimeuliza sana hapa upi uchochezi wa redio Imaan????
si kwa kuwa ni ya waislam??
hawana jingine hawa,,
we huoni wanavoshangilia??
maana kama redio inakuudhi si unaacha kuiskiza???
hao wasoipenda redio imaan walishawah kushikiwa mapanga na majambia waiskize?sie tunaiskiza ina mantiki kwetu,tumezoea usiku tunaskiza QUR'AN,hawa wazandiki wanaifungia
maana kama redio inakuudhi si unaacha kuiskiza???
hao wasoipenda redio imaan walishawah kushikiwa mapanga na majambia waiskize?sie tunaiskiza ina mantiki kwetu,tumezoea usiku tunaskiza QUR'AN,hawa wazandiki wanaifungia
Inashangaza sana
usishangae ndo hali halisi Islam is the threat worldwide hakuna nchi ya waislamu isiyo na amani ila "Imevamiwa au conspiracy ya nchi za nje"
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo?
Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani malalamiko ya sensa serikali hii haiyajui??
Kama waliona katika kuifunga hiyo redio iliyoshabikia sakata la kuchinja basi kulikuwa na ulazima wa kuifunga redio imaan hapo wamepotoka..
Hatujaona mantiki ya kuifunga redio hiyo eti kwa sababu za sensa,walikuwa wapi siku zote hizo??
Ila tunawapa tahadhari tuh ya kwamba ukweli haufungwi ili usisikike,zipo nia nyingi sana za kuufikisha ukweli kwa jamii..
Hakuna asiejua ya kwamba redio iman inachukiwa kwa kuwa tu inasema maneno wazi wazi pasi na kificho..
Tutaona mwisho wake..
Daima tutajivunia Redio imaan..