Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
yakubu kaitwa game moja tu, halafu msumbiji haina wachezaji wa kutisha kihvyoMtoa mada siyo mtu wa mpira na hajui kinachoendelea. Kwa taarifa yako chama ndiye captain wa timu ya taifa ya zambia.
Kutoitwa kwake Ni kutokana na tatizo lilitokea mwezi wa kumi. Chama aliitwa timu ya taifa na akachelewa kwenda zambia kitu ambacho kilimkasirisha Sana kocha wa timu ya taifa na kuamua kumuacha kabisa. kilichomchelewesha chama ilikuwa mechi tuliyoenda kucheza dodoma na kushinda nne.
Mbona yakubu huwa anaitwa timu ya taifa ya ghana, miquison mozambique, n.k
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
captain wa zambia alikuwa mchezaj wa tp mazembe, tena alifukuzwa kambini na kocha micho,Mtoa mada siyo mtu wa mpira na hajui kinachoendelea. Kwa taarifa yako chama ndiye captain wa timu ya taifa ya zambia.
Kutoitwa kwake Ni kutokana na tatizo lilitokea mwezi wa kumi. Chama aliitwa timu ya taifa na akachelewa kwenda zambia kitu ambacho kilimkasirisha Sana kocha wa timu ya taifa na kuamua kumuacha kabisa. kilichomchelewesha chama ilikuwa mechi tuliyoenda kucheza dodoma na kushinda nne.
Mbona yakubu huwa anaitwa timu ya taifa ya ghana, miquison mozambique, n.k
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Ukitaka kujua mpira wetu upo chini,chukua timu ya Uganda au Zambia na isiwe kwenye top 3 yao icheze na hawa mapacha ah lambalamba utagundua kitu fulani hakiko sawa.
Kwani Mo Dewji siyo mwarabu?!Chama ni mchezaji mzuri hapa EAC tu.Sijawahi kusikia waarabu wakimtaka
Kuna siasa kila mahaliTanzania Hakuna mpira, Full Stop.
😂😂😂Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye hakuwemo kwenye orodha hiyo. Nikajiuliza mpira wetu una tatizo gani?
Iweje leo kiungo tunayemwona kuwa asipokuwepo kwenye mechi ya Simba na timu nyingine tuanona kama hakuna timu, leo anakosekana kwenye timu yake ya taifa. Kwa kweli sikuyaamini macho yangu kuhusu hilo. Chama huyu huyu aliyeimpandishia dau la kumsajili timu yake ya Simba baada ya kutakiwa na mahasimu wao Yanga anakosa hata kuwa kwenye wachezaji wa akiba (Reserve)?
Nilipoendelea kushangaa nikakutana na mchambuzi mmoja mahiri alikuwa akieleza kuhusu ubora na udhaifu wa timu ya Simba inapocheza uwanjani. Kwa kumnukuu mchambuzi huyo alieleza kuwa "Timu ya Simba ni bora kwa kuchezea mpira hasa wa pasi fupi za kufurahisha mashabiki (wenyewe wanaita pira biriani) lakini ni dhaifu ikikutana na timu zinazocheza mpira wa nguvu".
Akaendelea kusema ubora wa Simba unamtegemea zaidi Cloutus Chama, ingawa naye hana uwezo wa kucheza mpira wa nguvu. Sehemu kubwa ya mpira anaocheza Chama anatumia unyumbufu wa mwili wake kuwadanganya wapinzani wake kwa vyenga vya hapa na pale.
Hivyo, kama taifa yatupasa tujitathmini kuhusu Ubora wa Ligi yetu ambayo ina wachezaji wanaoimbwa midomoni kama Chama na wengine.
Utovu wa nidhamu Ni sawaYawezekana kweli mimi sio mtu wa mpira. Hata hivyo, kutokana na hoja zako hapo juu umeonesha kuwa alichelewa kujiunga na wenzake kipindi kilichopita ndio maana hajaitwa timu ya taifa, ambayo inaonesha kuwa ni utovu wa nidhamu wa kutozingatia muda. Kwa hili naungana na kocha. Kwa hiyo, itoshe kusema kuwa hakuitwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu.
Nafikiri wakati Simba anamfunga ahly, nkana, vital zilikuwa zinashika nafasi ya 40 kwenye ligi zaoUmeandika ukweli mtupu. Chukua hata timu ya ligi ya congo inayoshika nafasi ya 10 alafu wachezee kwenye uwanja unaopatikana sehemu tofauti na nyumbani kila mmoja. Utaona hawa kulwa na doto wa Kariakoo watakavyopotezwa vibaya.
Unahabari kwamba alisajiriwa na timu ya misri kabla ya kurudi kwao na then kuja Simba?Chama ni mchezaji mzuri hapa EAC tu.Sijawahi kusikia waarabu wakimtaka
Usisahau hao mazembe wamemsajilli singano na mpaka leo hakuna anayejua kinachoendelea kwa huyo singanoSio waarab tu.. hata timu zinazojielewa kama mazembe, mamelodi, enyimba hazijawai kumuhitaji
Nafikiri wakati Simba anamfunga ahly, nkana, vital zilikuwa zinashika nafasi ya 40 kwenye ligi zao
Pia wakati yanga anamfunga ahly pale taifa ahly alikuwa ameshuka daraja Kule misri
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Popoma huyo.Chama kutoitwa kikosi cha sasa si ajabu maana huwezi jua kocha katumia kigezo gani lakini tambua kuwa amekuwa akiitwa kwenye kikosi hicho toka 2015/2016 .
Kama kutoitwa kikosi cha taifa ni ubovu vipi kuhusu Patson Daka na wengine wengi tu?
Pitia hiyo link https://www.11v11.com/teams/zambia/tab/players/season/2016/