Kama Cloutus Chama tunayemwimba kwenye mpira wetu wa Bongo kwenye Timu yake ya Taifa hayupo hata reserve basi Ligi yetu ya Bongo ina walakini

Kama Cloutus Chama tunayemwimba kwenye mpira wetu wa Bongo kwenye Timu yake ya Taifa hayupo hata reserve basi Ligi yetu ya Bongo ina walakini

Chama sio nahodha wa NT, toka 2015 kacheza mechi 15 tu,wastani wa mechi 3 kwa mwaka. Sasa nahodha gani anacheza game chache hvyo? Chama ni mchezaji mzuri akicheza na ihefu au utopolo.
 
Mtoa mada siyo mtu wa mpira na hajui kinachoendelea. Kwa taarifa yako chama ndiye captain wa timu ya taifa ya zambia.

Kutoitwa kwake Ni kutokana na tatizo lilitokea mwezi wa kumi. Chama aliitwa timu ya taifa na akachelewa kwenda zambia kitu ambacho kilimkasirisha Sana kocha wa timu ya taifa na kuamua kumuacha kabisa. kilichomchelewesha chama ilikuwa mechi tuliyoenda kucheza dodoma na kushinda nne.

Mbona yakubu huwa anaitwa timu ya taifa ya ghana, miquison mozambique, n.k

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
yakubu kaitwa game moja tu, halafu msumbiji haina wachezaji wa kutisha kihvyo
 
Kinachonishangaza kwako...ni kushindwa kutambua suala dogo tu kuwa ligi yetu haina pesa,ukiwa na pesa unasajili hata Messi...badala yake unasumbuka kuchambua vitu viguuumu kama tactics za mpira...anza kujifunza vitu vidogovidogo kwanza kama kwanini Giroud hachezi Chelsea ila ni regular starter halo Ufaransa...Ni ushauri tu mkuu
 
Mtoa mada siyo mtu wa mpira na hajui kinachoendelea. Kwa taarifa yako chama ndiye captain wa timu ya taifa ya zambia.

Kutoitwa kwake Ni kutokana na tatizo lilitokea mwezi wa kumi. Chama aliitwa timu ya taifa na akachelewa kwenda zambia kitu ambacho kilimkasirisha Sana kocha wa timu ya taifa na kuamua kumuacha kabisa. kilichomchelewesha chama ilikuwa mechi tuliyoenda kucheza dodoma na kushinda nne.

Mbona yakubu huwa anaitwa timu ya taifa ya ghana, miquison mozambique, n.k

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
captain wa zambia alikuwa mchezaj wa tp mazembe, tena alifukuzwa kambini na kocha micho,
 
Mbona hujiulizi Nyoni Simba yuko benchi lakini timu ya taifa anaanza na anacheza vizuri.
Kuitwa au kutoitwa mchezaji timu ya taifa inategemea na aina ya wachezaji anaowataka kocha na aina ya mbinu anayotumia tumewahi kuona kocha wa ufaransa wakati wanacheza kombe la dunia aliwaacha kina Cantona na Ginola pamoja na kwamba walikuwa kwenye peak na bado akapata matokeo.
Zaidi ya ushabiki wako wa upotolo sioni cha ziada.
 
Umeandika ukweli mtupu. Chukua hata timu ya ligi ya congo inayoshika nafasi ya 10 alafu wachezee kwenye uwanja unaopatikana sehemu tofauti na nyumbani kila mmoja. Utaona hawa kulwa na doto wa Kariakoo watakavyopotezwa vibaya.
Ukitaka kujua mpira wetu upo chini,chukua timu ya Uganda au Zambia na isiwe kwenye top 3 yao icheze na hawa mapacha ah lambalamba utagundua kitu fulani hakiko sawa.
 
chama ni mchezaji wa kawaida sana anaye jua kucheza na ma-jukwaa na vichwa vya mashabiki vilaza si vinginevyo……….
 
Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye hakuwemo kwenye orodha hiyo. Nikajiuliza mpira wetu una tatizo gani?

Iweje leo kiungo tunayemwona kuwa asipokuwepo kwenye mechi ya Simba na timu nyingine tuanona kama hakuna timu, leo anakosekana kwenye timu yake ya taifa. Kwa kweli sikuyaamini macho yangu kuhusu hilo. Chama huyu huyu aliyeimpandishia dau la kumsajili timu yake ya Simba baada ya kutakiwa na mahasimu wao Yanga anakosa hata kuwa kwenye wachezaji wa akiba (Reserve)?

Nilipoendelea kushangaa nikakutana na mchambuzi mmoja mahiri alikuwa akieleza kuhusu ubora na udhaifu wa timu ya Simba inapocheza uwanjani. Kwa kumnukuu mchambuzi huyo alieleza kuwa "Timu ya Simba ni bora kwa kuchezea mpira hasa wa pasi fupi za kufurahisha mashabiki (wenyewe wanaita pira biriani) lakini ni dhaifu ikikutana na timu zinazocheza mpira wa nguvu".

Akaendelea kusema ubora wa Simba unamtegemea zaidi Cloutus Chama, ingawa naye hana uwezo wa kucheza mpira wa nguvu. Sehemu kubwa ya mpira anaocheza Chama anatumia unyumbufu wa mwili wake kuwadanganya wapinzani wake kwa vyenga vya hapa na pale.

Hivyo, kama taifa yatupasa tujitathmini kuhusu Ubora wa Ligi yetu ambayo ina wachezaji wanaoimbwa midomoni kama Chama na wengine.
😂😂😂
 
Pira BIRIANI la CHAMA ni mihogo ya kuchoma kwa kocha MICHO....

Halafu MICHO alikuwepo HAPA....analijua SOKA LETU....
Anaijua TFF.....

Kubwa zaidi anamjua CHAMA WA MSIMBAZI...pale mikiani....
 
Yawezekana kweli mimi sio mtu wa mpira. Hata hivyo, kutokana na hoja zako hapo juu umeonesha kuwa alichelewa kujiunga na wenzake kipindi kilichopita ndio maana hajaitwa timu ya taifa, ambayo inaonesha kuwa ni utovu wa nidhamu wa kutozingatia muda. Kwa hili naungana na kocha. Kwa hiyo, itoshe kusema kuwa hakuitwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu.
Utovu wa nidhamu Ni sawa

Ila rejea majibu yangu na kichwa Cha barua yako hapo juu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Umeandika ukweli mtupu. Chukua hata timu ya ligi ya congo inayoshika nafasi ya 10 alafu wachezee kwenye uwanja unaopatikana sehemu tofauti na nyumbani kila mmoja. Utaona hawa kulwa na doto wa Kariakoo watakavyopotezwa vibaya.
Nafikiri wakati Simba anamfunga ahly, nkana, vital zilikuwa zinashika nafasi ya 40 kwenye ligi zao

Pia wakati yanga anamfunga ahly pale taifa ahly alikuwa ameshuka daraja Kule misri

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri wakati Simba anamfunga ahly, nkana, vital zilikuwa zinashika nafasi ya 40 kwenye ligi zao

Pia wakati yanga anamfunga ahly pale taifa ahly alikuwa ameshuka daraja Kule misri

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app

Na wakati Simba anamfunga Zamalek, basi Zamalek alikuwa anashika nafasi ya 20 kwenye Ligi ya Somalia aliyokuwa anashiriki.
 
Utopolo walikuwa wanamwimba chama wiku moja iliyopita baada ya viongozi wao kuwadanganya anakuja jangwani lakini baada ya dili lao la uongo kubumburuka wamegeuza kibao Chama si lolote hivi pale utopolo mchezaji gani utamlunganisha na Chama
 
Back
Top Bottom