OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni kichefuchefu kabisa mpira wa Bongo.Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye hakuwemo kwenye orodha hiyo. Nikajiuliza mpira wetu una tatizo gani?
Iweje leo kiungo tunayemwona kuwa asipokuwepo kwenye mechi ya Simba na timu nyingine tuanona kama hakuna timu, leo anakosekana kwenye timu yake ya taifa. Kwa kweli sikuyaamini macho yangu kuhusu hilo. Chama huyu huyu aliyeimpandishia dau la kumsajili timu yake ya Simba baada ya kutakiwa na mahasimu wao Yanga anakosa hata kuwa kwenye wachezaji wa akiba (Reserve)?
Nilipoendelea kushangaa nikakutana na mchambuzi mmoja mahiri alikuwa akieleza kuhusu ubora na udhaifu wa timu ya Simba inapocheza uwanjani. Kwa kumnukuu mchambuzi huyo alieleza kuwa "Timu ya Simba ni bora kwa kuchezea mpira hasa wa pasi fupi za kufurahisha mashabiki (wenyewe wanaita pira biriani) lakini ni dhaifu ikikutana na timu zinazocheza mpira wa nguvu".
Akaendelea kusema ubora wa Simba unamtegemea zaidi Cloutus Chama, ingawa naye hana uwezo wa kucheza mpira wa nguvu. Sehemu kubwa ya mpira anaocheza Chama anatumia unyumbufu wa mwili wake kuwadanganya wapinzani wake kwa vyenga vya hapa na pale.
Hivyo, kama taifa yatupasa tujitathmini kuhusu Ubora wa Ligi yetu ambayo ina wachezaji wanaoimbwa midomoni kama Chama na wengine.
Chama hajaitwa Kwasababu za kinidhamu na sio uwezo, aliitwa akachelewa ku report akapigwa chini sii vinginevyoJuzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye hakuwemo kwenye orodha hiyo. Nikajiuliza mpira wetu una tatizo gani?
Iweje leo kiungo tunayemwona kuwa asipokuwepo kwenye mechi ya Simba na timu nyingine tuanona kama hakuna timu, leo anakosekana kwenye timu yake ya taifa. Kwa kweli sikuyaamini macho yangu kuhusu hilo. Chama huyu huyu aliyeimpandishia dau la kumsajili timu yake ya Simba baada ya kutakiwa na mahasimu wao Yanga anakosa hata kuwa kwenye wachezaji wa akiba (Reserve)?
Nilipoendelea kushangaa nikakutana na mchambuzi mmoja mahiri alikuwa akieleza kuhusu ubora na udhaifu wa timu ya Simba inapocheza uwanjani. Kwa kumnukuu mchambuzi huyo alieleza kuwa "Timu ya Simba ni bora kwa kuchezea mpira hasa wa pasi fupi za kufurahisha mashabiki (wenyewe wanaita pira biriani) lakini ni dhaifu ikikutana na timu zinazocheza mpira wa nguvu".
Akaendelea kusema ubora wa Simba unamtegemea zaidi Cloutus Chama, ingawa naye hana uwezo wa kucheza mpira wa nguvu. Sehemu kubwa ya mpira anaocheza Chama anatumia unyumbufu wa mwili wake kuwadanganya wapinzani wake kwa vyenga vya hapa na pale.
Hivyo, kama taifa yatupasa tujitathmini kuhusu Ubora wa Ligi yetu ambayo ina wachezaji wanaoimbwa midomoni kama Chama na wengine.
Kocha wa Zambia, Micho, alimuondoa kwa hasira ile mara ya mwisho kwenye mechi za kirafiki kwa kuwa Chama alichelewa kuwasili. Kumbuka Simba ilicheza mechi Dodoma, baada ya siku hiyo ligi zilisimama. Chama alijitetea kwamba Dodoma hadi Dar kuna umbali, lakini Micho hakumwelewa. Rungu kama hilo lilimkuta pia Aubrey Chirwa wa Azam FC (ingawa ninyi mnamwita Obrey). Lakini kwa Chirwa ilikuwa ni uzembe maana alikuwa Dar akaachwa na ndege, na hata maafisa wa Azam walimlaumu. Kwa hiyo Chama na Chirwa waliitwa timu ya Zambia, ila Micho alichukulia kama wamefanya dharauJuzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo.
Hoja yako ilikuwa ni kwamba Chama hajaitwa kwa sababu ya kuwa na kiwango duni kulinganisha na walioitwa. Umeandika maelezo mengi na marefu kumbe haukufanya uchunguzi hata walau kidogo tu kwenye media za Zambia ili unapoanzisha thread uwe na uhakika na kile unachoripoti. Angalia sasa unavyohaha. Umehama kwenye kiwango duni umehamia kwenye nidhamu, ambayo haikuwa hoja yako na wala haukuitolea maelezo popote. Siku nyingine usikurupuke kuanzisha uzi kama hujui Kiingereza... inaonesha kuwa ni utovu wa nidhamu wa kutozingatia muda.Kwa hili naungana na kocha.
Nafikiri wakati Simba anamfunga ahly, nkana, vital zilikuwa zinashika nafasi ya 40 kwenye ligi zao
Pia wakati yanga anamfunga ahly pale taifa ahly alikuwa ameshuka daraja Kule misri
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Ungewawekea utopolo kwa kiswahili labda wangeelewa
Zilishinda nyumbani na kupoteza ugenini. Point yako Ni ipi?Simba na Yanga hizo zilikuwa zinashindia nyumbani au ugenini?
sasa kwa nini unaandika vitu usivyovijua ukihitimisha. unaweza kuwa first 11 ya Zambia halafu utopolo?Kwa hiyo, itoshe kusema kuwa hakuitwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu.
Yote haya baada ya press ya Mo Dewji kuwa jamaa kashasainiJuzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye hakuwemo kwenye orodha hiyo. Nikajiuliza mpira wetu una tatizo gani?
Iweje leo kiungo tunayemwona kuwa asipokuwepo kwenye mechi ya Simba na timu nyingine tuanona kama hakuna timu, leo anakosekana kwenye timu yake ya taifa. Kwa kweli sikuyaamini macho yangu kuhusu hilo. Chama huyu huyu aliyeimpandishia dau la kumsajili timu yake ya Simba baada ya kutakiwa na mahasimu wao Yanga anakosa hata kuwa kwenye wachezaji wa akiba (Reserve)?
Nilipoendelea kushangaa nikakutana na mchambuzi mmoja mahiri alikuwa akieleza kuhusu ubora na udhaifu wa timu ya Simba inapocheza uwanjani. Kwa kumnukuu mchambuzi huyo alieleza kuwa "Timu ya Simba ni bora kwa kuchezea mpira hasa wa pasi fupi za kufurahisha mashabiki (wenyewe wanaita pira biriani) lakini ni dhaifu ikikutana na timu zinazocheza mpira wa nguvu".
Akaendelea kusema ubora wa Simba unamtegemea zaidi Cloutus Chama, ingawa naye hana uwezo wa kucheza mpira wa nguvu. Sehemu kubwa ya mpira anaocheza Chama anatumia unyumbufu wa mwili wake kuwadanganya wapinzani wake kwa vyenga vya hapa na pale.
Hivyo, kama taifa yatupasa tujitathmini kuhusu Ubora wa Ligi yetu ambayo ina wachezaji wanaoimbwa midomoni kama Chama na wengine.
Zilishinda nyumbani na kupoteza ugenini. Point yako Ni ipi?
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
mbona husemi kuwa huko MISRI hakucheza hata mechi 5?Unahabari kwamba alisajiriwa na timu ya misri kabla ya kurudi kwao na then kuja Simba?
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Atajifanya hajakuelewaKinachonishangaza kwako...ni kushindwa kutambua suala dogo tu kuwa ligi yetu haina pesa,ukiwa na pesa unasajili hata Messi...badala yake unasumbuka kuchambua vitu viguuumu kama tactics za mpira...anza kujifunza vitu vidogovidogo kwanza kama kwanini Giroud hachezi Chelsea ila ni regular starter halo Ufaransa...Ni ushauri tu mkuu
Nimejibu swali lako ulilodai waarabu hawajawahi kumtafuta chamambona husemi kuwa huko MISRI hakucheza hata mechi 5?
Mkuu,, kwenye inchi ya watu vipofu ikitokea mtu mwenye Jicho moja,,Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye hakuwemo kwenye orodha hiyo. Nikajiuliza mpira wetu una tatizo gani?
Iweje leo kiungo tunayemwona kuwa asipokuwepo kwenye mechi ya Simba na timu nyingine tuanona kama hakuna timu, leo anakosekana kwenye timu yake ya taifa. Kwa kweli sikuyaamini macho yangu kuhusu hilo. Chama huyu huyu aliyeimpandishia dau la kumsajili timu yake ya Simba baada ya kutakiwa na mahasimu wao Yanga anakosa hata kuwa kwenye wachezaji wa akiba (Reserve)?
Nilipoendelea kushangaa nikakutana na mchambuzi mmoja mahiri alikuwa akieleza kuhusu ubora na udhaifu wa timu ya Simba inapocheza uwanjani. Kwa kumnukuu mchambuzi huyo alieleza kuwa "Timu ya Simba ni bora kwa kuchezea mpira hasa wa pasi fupi za kufurahisha mashabiki (wenyewe wanaita pira biriani) lakini ni dhaifu ikikutana na timu zinazocheza mpira wa nguvu".
Akaendelea kusema ubora wa Simba unamtegemea zaidi Cloutus Chama, ingawa naye hana uwezo wa kucheza mpira wa nguvu. Sehemu kubwa ya mpira anaocheza Chama anatumia unyumbufu wa mwili wake kuwadanganya wapinzani wake kwa vyenga vya hapa na pale.
Hivyo, kama taifa yatupasa tujitathmini kuhusu Ubora wa Ligi yetu ambayo ina wachezaji wanaoimbwa midomoni kama Chama na wengine.
Yanga Chama anawaumaaaaaaaaa! Na vile mbinu yao ya kuwadanganya mashabiki imebuma wamebadilisha gia angan sahiz ni watu wa kuibua mara hili mara lile ila kiukweli,,, utopolo united mtapata tabu sana.