Kama Crown FM imezinduliwa bila kuwa hewani, litakuwa ni kosa kubwa la kibiashara

Ally hajawahi kuwa serious na Biashara yoyote ile.Hakuna kitu hapo,japo napenda mziki wake lakini namuona ni Mswahili sana sio wa Kibiashara
 
Ilitakiwa waipe promo hata wiki mbili kila siku iwe mikito ya bongofleva na nyimbo za dini then ndo waizkndue sio hivo maneno matupu😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…