Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.

Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.

Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi

UKOKOTOAJI WA BEI ZA MAFUTA YANAYOPOKELEWA BANDARI YA DAR ES SALAAM (Mfano Petrol/Lita)

1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita.
 
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.

Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi
Hiyo kilogram moja inaweza kukusukuma toka wapi hadi wapi?
 
1625721016172.png
 
Jikusanyeni halafu mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs".

Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati, tuweze kufika uchumi wa juu kabisa kuliko ulaya. Kama tulivyoongeza kodi kwenye "KILIMO CHA UMWAGILIAJI".

CCM Hoyee!!! CCM Hoyeeeeeeeee!!! Makofi!!!
 
Mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari) vyenu na mkaweka ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi za gas na kufikia "KG 1 KWA 3,000/Tshs".

Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati.
Hilo halikwepek..logicaly....maana pesa nyingi inatoka huku kwenye mafuta...kwahiyo mwendo na wembe ni ule ule.
 
Mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari) vyenu na mkaweka ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi za gas na kufikia "KG 1 KWA 3,000/Tshs".

Itakua fursa nzuri kwetu kuongeza makusanyo ya kodi ili kuendeleza miradi ya kimkakati.
CCM Ni Chanzo Cha Matatizo, badala ya kufikiria kuboresha maisha ya watu wake, wao wanafikiria ni jinsi gani wawaumize wananchi.
Kwa mawazo yenu mgando ya kuamini kwenye uchawi wa mwenge kupumbaza watu, yakiingia nchini magari ya umeme 100% mtachaji Nini?
Tayari mtaani Kuna pikipiki na bajaji nyingi za umeme 100% mnazikamuaje Kodi ya kila siku?
 
Back
Top Bottom