stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Good idea...Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.
Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi