Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.

Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi
Good idea...
 
CCM Ni Chanzo Cha Matatizo, badala ya kufikiria kuboresha maisha ya watu wake, wao wanafikiria ni jinsi gani wawaumize wananchi.
Kwa mawazo yenu mgando ya kuamini kwenye uchawi wa mwenge kupumbaza watu, yakiingia nchini magari ya umeme 100% mtachaji Nini?
Tayari mtaani Kuna pikipiki na bajaji nyingi za umeme 100% mnazikamuaje Kodi ya kila siku?
Hao CCM jinsi walivyo wase*ge ni mwendo wa kutunyonya mpaka tunyonyoke mamaqqee. Hio gas bei watakavyopandisha pindi watu watakavyo jazana, haielezeki. Wao katika kila jambo muhimu kwa wananchi ndio wanaona fursa ya kupandisha kodi.
 
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550...
Ubungo maziwa pale wanakojazia gesi gari ndogo kuanzia kg 800 hadi tone 2.5 kufunga ni milioni moja na laki 3 pamoja na ufundi hiyo.
 
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550..
Bujibuji unajua tatizo siyo mafuta Bali tatizo ni akili za watawala wetu, tatizo lingekuwa mafuta watanzania walioko maeneo ya mipakani wasingekimbilia nchi jirani kujaza mafuta.

Endapo wengi mtakimbilia kubadilisha mfumo na kutumia gesi uko itaongezwa Kodi ya kukataa uzalendo na mwisho wa siku utakuwa hauna pa kukimbilia. Mbunge anakutungia sheria ya kukubana yeye anajitungia kanuni za kumnasua
 
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.

Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.

Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi
Mwenzio kabadili mfumo kwwakuwa kwenye mafuta aalikuwa anaapigwa mnoo, jamaa wanapiga nyoka kama hawana akili nzuri. Kwenye gas hakuna nyoka
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.

Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.

Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo, sitaki ujinga mimi
aku
 
Ujinga wa hii kitu inamaliza nafasi kwenye buti ukishaweka utakuwa ukitoka Chunya au Tukuyu kuja Dar unaacha kubeba Mchele na maparachichi na mikungu ya ndizi...Na kingine huwa siamini kama Technology hiyo ni salama hasa pale gari linapopata ajali na kupinduka huwa nahisi kama mlipuko utkaotokea hapo si wa kitoto
 
Back
Top Bottom