Naomba namba mkuu km unayo..Ubungo maziwa pale wanakojazia gass gari ndogo kuanzia kg 800 hadi tone 2.5 kufunga ni milioni moja na laki 3 pamoja na ufundi hiyo.
Bado tu hujafunga mtungi wa natural gas?Ishu ya mafuta itatuhamisha wengi Kwenye gesi.
Bado sijafanya installationBado tu hujafunga mtungi wa natural gas?
Kwa hiyo elfu 10 lita tatu point ngapi vile?Bado sijafanya installation
Point 30-46Kwa hiyo elfu 10 lita tatu point ngapi vile?
Very sadPoint 30-46
Kama uliweza kuchanga ukanunua gari, basi utaweza kabisa kuchanga ili ufunge mtungiKwa Bei hii bei ya petrol ilipofikishwa naona kabisa Kuna uwezekano wa kuhamia kwenye kufunga yale mamitungi ya gesi kwenye haka kagari ninachokatumia............shida bado ipo kwenye kuchanga hizo pesa ya kufungia hayo mamitungi ukizingatia huu mtungo wa kodi na tozo ninaopigwa na awamu ya tozo in kwa kweli sioni pa kupatia ahueni
UshindiiiiiiiiiiHilo halikwepek..logicaly....maana pesa nying inatoka huku kwenye mafuta...kwahyo mwendo na wembe ni ule ule.
Wakiona wengi mmehamia huko watawafuata na kuongeza kodiIshu ya mafuta itatuhamisha wengi Kwenye gesi.
Ukienda sehemu haina sehemu ya kujaza unafanyaje?Ni mara mbili ya distance ambayo mafuta yanapeleka gari yako, pia gesi asili Ni nzuri sana kwa maisha marefu ya injini yako kwani haina mabaki, na pia gesi asili Ni rafiki mzuri wa mazingira
Kwa hiyo hapo Yale mambo ya kubadilisha oil hayapo Tena...???
Sasa kilo 50 kwenye gari si sawa na ungebeba abiria mmoja utembee naye kila unapoenda.....???Utabebesha gari lako mtungi wa kilo 50
Ile gesi inakuwa na reserve Tu lazima uwe na mafuta pia kwenye tank Ila Kwa trip town unaweza kutumia gesi mwanzomwishoUkienda sehemu haina sehemu ya kujaza unafanyaje?