Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Kwa Bei hii bei ya petrol ilipofikishwa naona kabisa Kuna uwezekano wa kuhamia kwenye kufunga yale mamitungi ya gesi kwenye haka kagari ninachokatumia............shida bado ipo kwenye kuchanga hizo pesa ya kufungia hayo mamitungi ukizingatia huu mtungo wa kodi na tozo ninaopigwa na awamu ya tozo in kwa kweli sioni pa kupatia ahueni
 
Kwa serikali hii tukikimbilia kwa wingi kwenye gas, utakuta gas inapanda buku 2 jero
 
Kwa Bei hii bei ya petrol ilipofikishwa naona kabisa Kuna uwezekano wa kuhamia kwenye kufunga yale mamitungi ya gesi kwenye haka kagari ninachokatumia............shida bado ipo kwenye kuchanga hizo pesa ya kufungia hayo mamitungi ukizingatia huu mtungo wa kodi na tozo ninaopigwa na awamu ya tozo in kwa kweli sioni pa kupatia ahueni
Kama uliweza kuchanga ukanunua gari, basi utaweza kabisa kuchanga ili ufunge mtungi
 
Sahiv petrol 3000 hivi siwez kuifunga pikpik yang ikatumia makaa ya mawe?
 
Ni mara mbili ya distance ambayo mafuta yanapeleka gari yako, pia gesi asili Ni nzuri sana kwa maisha marefu ya injini yako kwani haina mabaki, na pia gesi asili Ni rafiki mzuri wa mazingira
Ukienda sehemu haina sehemu ya kujaza unafanyaje?
 
Alifunga Ili kuzuia wizi wa mafuta...na si kupunguza gharama
 
Back
Top Bottom