Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #141
Ujumbe bin kijembeHii ni Taarifa au Tangazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe bin kijembeHii ni Taarifa au Tangazo?
Wakiona hivyo mwaka ujao Wanaingeza kodi kwenye gass so bei ya gass nayo inakuwa haikamatikiIshu ya mafuta itatuhamisha wengi Kwenye gesi.
Majanga yapi unayoyahofia ilhali hii gesi hailipuki na pia mbona mamlaka za maji zinafikisha huduma kwenye huu huu unaosema ujenzi holela!!??? Shida ni watunga sera ndo hawapo tyr kutusaidiaTatizo mmejenga nyumba kiholela bila kufuata mipango miji, wakisema wawaletee gesi kutakuwa na majanga kila siku.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ipo km kawaida ila inapozwa tuu na unafungua wa Bei ya gasiKwa hiyo kwenye gesi hakuna story za hili gari jini linabugia mafuta
Kama ulikuwepo aisee!!! Hii serikali yetu haikimbiliki kwasabb kama wateja wengi watabadilisha Magari Yao yatumie Gesi hapo tutapigwa zaidi ili Turudi Kwenye mafuta..Wakiona hivyo mwaka ujao Wanaingeza kodi kwenye gass so bei ya gass nayo inakuwa haikamatiki
Mimi ninadhani mafundi wetu wajijengee uwezo wa kutengeneza (ku repair) magari yanayotumia mafuta na umeme (hybrid). Ili tuanze kununua hybrid cars. Najua hao viongozi watakuwa wanakata kodi ya kukomoa kabisa kwenye hybrid cars.Kama ulikuwepo aisee!!! Hii serikali yetu haikimbiliki kwasabb kama wateja wengi watabadilisha Magari Yao yatumie Gesi hapo tutapigwa zaidi ili Turudi Kwenye mafuta..
Kwahiyo hapo unapata double advantage; lower price plus longer distanceNi mara mbili ya distance ambayo mafuta yanapeleka gari yako, pia gesi asili Ni nzuri sana kwa maisha marefu ya injini yako kwani haina mabaki, na pia gesi asili Ni rafiki mzuri wa mazingira
Na gesi haiachi mabaki kwenye engineKwahiyo hapo unapata double advantage; lower price plus longer distance
Live long natural gas [emoji110][emoji110][emoji16][emoji16][emoji16]Na gesi haiachi mabaki kwenye engine
Ubungo maziwa pale wanakojazia gass gari ndogo kuanzia kg 800 hadi tone 2.5 kufunga ni milioni moja na laki 3 pamoja na ufundi hiyo.
Hawawezi hii ni mpaka uende afrikapanorama pale ubungo maziwaGereji za mtaani hawawezi kufanya hii?
[emoji16][emoji16][emoji28]Tuhame tu aiseee..... Kwenye mafuta tunachajiwa hadi Kodi za kuwastarehesha viongozi wa chama chakavu
Ulipo wapo mkuu,, dawa ya hawa wakamuzi ni katiba mpya pekee!CCM wajiandae na mabadiliko ya teknolojia, tayari magari ya umeme 100% yanauzwa kila sehemu duniani
unaonaje na kwenye gas ikaongezeka kidogo?Ishu ya mafuta itatuhamisha wengi Kwenye gesi.
Jamaa wanazani serikali imelala. Inshort inawazoom tu. Mkihamia benki kutuma miamala nao wamo mkitisa mkia tu wanawakanyaga.Jikusanyeni halafu mkisha badilisha mifumo ya mafuta kwenye vibebi woka (Magari Ya Mtumba) vyenu na mkaweka mifumo ya gas. Mtuambie, ili sisi kama serikali ya chama pendwa ya CCM tutapandisha kodi maradufu za gas kutoka "KG 1 KWA 1550/Tsh" na kufikia "KG 1 KWA 3,500/Tshs"...
Ila huyo ni mbahili asili! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Kuna mtu gari ist kafunga mtungi wa gesi
Anatwanga mwendo
Ova