Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Tatizo mmejenga nyumba kiholela bila kufuata mipango miji, wakisema wawaletee gesi kutakuwa na majanga kila siku.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Majanga yapi unayoyahofia ilhali hii gesi hailipuki na pia mbona mamlaka za maji zinafikisha huduma kwenye huu huu unaosema ujenzi holela!!??? Shida ni watunga sera ndo hawapo tyr kutusaidia
 
Wakiona hivyo mwaka ujao Wanaingeza kodi kwenye gass so bei ya gass nayo inakuwa haikamatiki
Kama ulikuwepo aisee!!! Hii serikali yetu haikimbiliki kwasabb kama wateja wengi watabadilisha Magari Yao yatumie Gesi hapo tutapigwa zaidi ili Turudi Kwenye mafuta..
 
Kama ulikuwepo aisee!!! Hii serikali yetu haikimbiliki kwasabb kama wateja wengi watabadilisha Magari Yao yatumie Gesi hapo tutapigwa zaidi ili Turudi Kwenye mafuta..
Mimi ninadhani mafundi wetu wajijengee uwezo wa kutengeneza (ku repair) magari yanayotumia mafuta na umeme (hybrid). Ili tuanze kununua hybrid cars. Najua hao viongozi watakuwa wanakata kodi ya kukomoa kabisa kwenye hybrid cars.

Akili zetu na hasa za hawa viongozi wetu ni za kuhurumia sana.
 
Mafuta yanaingilia bandari ya Tanzania yanakwenda nchi jirani na Tanzania chakushangaza yanauzwa bei ghali ndani ya Tanzania na rahisi nchi jirani ambapo yamesafiri si chini ya kilometa 1500 [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
 
Jamaa wanazani serikali imelala. Inshort inawazoom tu. Mkihamia benki kutuma miamala nao wamo mkitisa mkia tu wanawakanyaga.
 
Kuna mtu gari ist kafunga mtungi wa gesi
Anatwanga mwendo

Ova
Ila huyo ni mbahili asili! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…