Kama David Silinde aliitumikia CCM kwa siri kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni inawezekana sasa anaitumikia CHADEMA akiwa CCM

Kuna tatizo la watanzania kujifanya ni usalama wa taifa, kwa hiyo Silinde ni usalama alikuwa anatumwa na CCM? mambo ya hovyo kabisa
 
Vipi yule Mwambe?
 
Chadema wanamapandikizi kibao ndani ya ccm lkn miongoni mwa hayo mapandikizi silinde si mmojawapo!
Mapandikizi ya Chadema ndani ya CCM hayana madhara makubwa kama Mapandikizi ta CCM ndani ya Upinzani wote.
 
Mapandikizi ya Chadema ndani ya CCM hayana madhara makubwa kama Mapandikizi ta CCM ndani ya Upinzani wote.
Mapandikizi ya cdm ni long term plan matunda yake utakuja kuyaona hapo baadae!
 
Hata hivyo amepata kura nyingi sana tofauti na tulivyodhani.

Naona Kama ana nafasi kubwa ya kupitishwa na mamlaka za juu.

Kama alitumika CCM akiwa chadema unategemea anaipenda chadema? Yaani awe CCM aitumikie chadema?

Sidhani.
Roho ya usaliti ni mbegu hushamiri popote!
 
Silinde ni Famba tu
Dogo kwa taarifa yako David Silinde atachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM Tunduma, kama kweli ulimsikiliza Magufuri siku ile ya Mkutano. Au atapata nafasi ya ubunge wa kuteuliwa na Rais.
 
Huyo asikuumize kichwa kisiasa ndio kaisha hivyo,kinachoniuma ni kuona vijana wanapotea mapema kwenye majukwaa ya siasa bora sarfi na shibuda walipotea umri ulishawatupa mkono
Hivi vijana wakiwa chama tawala ndio wanapotea, kweli wewe kichwa bangi. Hao vijana waliopo upinzani si wanaharakati ambao hawajui wanachokitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…