Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kuna tatizo la watanzania kujifanya ni usalama wa taifa, kwa hiyo Silinde ni usalama alikuwa anatumwa na CCM? mambo ya hovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi yule Mwambe?Aliambiwa aeleze sera zake mbele ya Wajumbe wa Jimbo la Tunduma kuwa ataifanyia nini Tunduma? Yeye akaanza mimi nilifanya kazi kwa siri kuipigania CCM nikiwa CHADEMA. Kwani nani hajui kilichomwondoa Silinde CHADEMA? Mara ooh sisi tulikua tunapinga kila kitu sasa hivi nimeokoka siwezi kupinga. Halafu eti nitajenga majengo ya vituo vya afya na shule kwa hela zangu. Hizo ndio sera kweli? Kwa kweli amewazalilisha sana wasomi wa nchi hii hasa wa UDSM. Alichopata alistahili. Halafu watia nia wetu wanafikiri wananchi waliosoma mpaka darasa la saba hawajui kupambanua sera!
Mapandikizi ya Chadema ndani ya CCM hayana madhara makubwa kama Mapandikizi ta CCM ndani ya Upinzani wote.Chadema wanamapandikizi kibao ndani ya ccm lkn miongoni mwa hayo mapandikizi silinde si mmojawapo!
Mapandikizi ya cdm ni long term plan matunda yake utakuja kuyaona hapo baadae!Mapandikizi ya Chadema ndani ya CCM hayana madhara makubwa kama Mapandikizi ta CCM ndani ya Upinzani wote.
Labda vitukuu wetuMapandikizi ya cdm ni long term plan matunda yake utakuja kuyaona hapo baadae!
Roho ya usaliti ni mbegu hushamiri popote!Hata hivyo amepata kura nyingi sana tofauti na tulivyodhani.
Naona Kama ana nafasi kubwa ya kupitishwa na mamlaka za juu.
Kama alitumika CCM akiwa chadema unategemea anaipenda chadema? Yaani awe CCM aitumikie chadema?
Sidhani.
Unamkumbuka Prof Ndumilakuwili?Silinde ni poyoyo tu
Unamkumbuka Prof Ndumilakuwili?
Dogo kwa taarifa yako David Silinde atachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM Tunduma, kama kweli ulimsikiliza Magufuri siku ile ya Mkutano. Au atapata nafasi ya ubunge wa kuteuliwa na Rais.Silinde ni Famba tu
Hivi vijana wakiwa chama tawala ndio wanapotea, kweli wewe kichwa bangi. Hao vijana waliopo upinzani si wanaharakati ambao hawajui wanachokitaka.Huyo asikuumize kichwa kisiasa ndio kaisha hivyo,kinachoniuma ni kuona vijana wanapotea mapema kwenye majukwaa ya siasa bora sarfi na shibuda walipotea umri ulishawatupa mkono
Kwani wakurugenzi hawazipendi familia zao? Wananchi sio wajinga sana!Hivi unategemea kuna mkurugenzi mwenye guts za kumtangaza mshindi mpinzani?