PostGE2025 Kama demands zetu hazitotimia kwenye D9, tutakuja na J12

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.

By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.

Madai

1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzulu
5.Utekaji ukome.

Mto wa mbu
Illinois-USA.
 
4.Samia ajiuzuru
5.Utekaji ukome.

Mto wa mbu
Illinois-USA.
Huko hatufiki, D9 mapema kabisa tunaanua jamvi
 
Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.

By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.

Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzuru
5.Utekaji ukome.

Mto wa

Kwanza nasikia taarifa mbili kwanini yupo K/ZNZ either Mama anaumwa au anawindwa
 
Takribani robotatu ya waajiriwa kwenye fani ya utalii ni Gen Z
kwa hiyo unaona 75% ya maGen Z waliopo kwenye utalii wakiwa jobless ni kitu kizuri.....
Ni kiasi kikubwa kulinganisha na Gen Z wasio na ajira? Au waliopo kwenye sekta nyingine?

Acha kuwa mbinafsi
 
Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.

By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.

Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzuru
5.Utekaji ukome.

Mto wa mbu
Illinois-USA.
Mmeambiwa muda wowote muende,mtawakuta
 
Back
Top Bottom