Bila kusahau A26 tuidai tanganyika, muungano unatulrtea hasaraHakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzulu
5.Utekaji ukome.
Mto wa mbu
Illinois-USA.
NI HIVII, MADHALIMU WAWEKE AKILINI KWAMBA SUALA LA KUTOKA BARABARANI NI ENDELEVU. YANI MPAKA WATUUE WOTE , (KAMA WANADHANI WANAWEZA). NA BAADAE TUTAANZA PIA KUDILI NAO. HIYO NI BAADA YA WATU KUCHOKA ZAIDI. MWENYE AKILI ANALIONA HILO.Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzulu
5.Utekaji ukome.
Mto wa mbu
Illinois-USA.
Huyu ndiyo aachiwe?Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzulu
5.Utekaji ukome.
Mto wa mbu
Illinois-USA.
Na hii J12 tuendeni.Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
Uchumi umiyumba waathirika ni mimi na wewe. Hao wakubwa watachukua kiliopoBy doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
J12 kama hatutatimiziwa tutakuja na A26Na hii J12 tuendeni.
Uchumi umiyumba waathirika ni mimi na wewe. Hao wakubwa watachukua kiliopo
Tuendelee tu kuiombea nchi mabaya tukijidanganya tunamkomoa mtu.
Nyie ndio mnakufaga ndaniKuna somo litatolewa tarehe 9 , hakuna mpuuzi atarudia Tena upuuzi wa kuitishia serikali, Mabeberu wote watabaki mdomo wazi.
Umeshanunua vitu vya kujipikilisha? Umeambiwa kesho usitoke utulize wezere lako ndani, wanaotoka kesho ni majenziii tu ambao wana jambo lao, wewe tuliza trakooo tizama tamthiliya azam tvNjooni hata kila siku mtatukuta serikali imejipanga kukabiliana na wahuni wote!!
Jitayarisheni kwani hii inakuja.J12 kama hatutatimiziwa tutakuja na A26
kuna vizee huku vijijini hauviambii kitu kuhusu ccm ya nyerere, inayoendeshwa na wahuni.Na hii J12 tuendeni.
Uchumi umiyumba waathirika ni mimi na wewe. Hao wakubwa watachukua kiliopo
Tuendelee tu kuiombea nchi mabaya tukijidanganya tunamkomoa mtu.
Ni kweli watatia akili, lkn pamoja nami na wewe. Hili usilisahau ili tusije kulia.kuna vizee huku vijijini hauviambii kitu kuhusu ccm ya nyerere, inayoendeshwa na wahuni.
Sasa hawa dawa yao walale njaa wiki kadhaa ndio watatia akili.
kwa faida ya ukombozi wa mama Tanzania (Tanganyika mpya) sina budi kukinywea kikombe hiki kwa furaha.Ni kweli watatia akili, lkn pamoja nami na wewe. Hili usilisahau ili tusije kulia.
Sasa. Ikiwa ni hivyo, mbona unawalaumu wazee? Imeshasahau mida hii. Inataka akili kubwa kukumbuka. Tuendelee.kwa faida ya ukombozi wa mama Tanzania (Tanganyika mpya) sina budi kukinywea kikombe hiki kwa furaha.
Hakuna ukombozi bila kupitishwa kwenye moto. Twende tukivuka hili tutakaa chini wote tuelewane.
Sababu hawa wazee huko vijijini, wanaamini ccm bado ni ile ya Nyerere, hawataki kukubari kuwa sasa wahuni wameiteka ccm, haifai kuongoza nchi. uchaguzi ukija kula kwa ccm. Sasa ngoja njaa iletwe na ccm ya wahuni wanaweza kubadiri fikra. Na wewe ndio kati. ya hao wazee nn? Usiwe kichwa ngumuSasa. Ikiwa ni hivyo, mbona unawalaumu wazee? Imeshasahau mida hii. Inataka akili kubwa kukumbuka. Tuendelee.
Hamuoni aibu mnakalia vyeo mkiwa mnajuwa fika hamkuchaguliwa.wenye nchi wakidai hakiyao mnawauwa...mwisho mbaya unawasubiri,mbaya zaidi na vizazi venu..Mlipaswa muanze nyinyi kujali uchumi kwa kuacha kuandamana