PostGE2025 Kama demands zetu hazitotimia kwenye D9, tutakuja na J12

PostGE2025 Kama demands zetu hazitotimia kwenye D9, tutakuja na J12

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyoka vibisa ,mtachezea tena mbata mje kudai miili yenu...Hamna huo ubavu 🤣🤣mikwara ya TEC hao halafu wanaogopa kutekwa..

Tafuta kazi ufanye usije kufa njaa kwa kutetea ugali wa mwingine.
Tunakula ili tuishi hatuishi ili tule mkuu!! Use your headquarter.
 
Hamuoni aibu mnakalia vyeo mkiwa mnajuwa fika hamkuchaguliwa.wenye nchi wakidai hakiyao mnawauwa...mwisho mbaya unawasubiri,mbaya zaidi na vizazi venu..
Mbona uchaguzi ulifanyika na ccm imevishinda takribani vyama 17
 
Sababu hawa wazee huko vijijini, wanaamini ccm bado ni ile ya Nyerere, hawataki kukubari kuwa sasa wahuni wameiteka ccm, haifai kuongoza nchi. uchaguzi ukija kula kwa ccm. Sasa ngoja njaa iletwe na ccm ya wahuni wanaweza kubadiri fikra. Na wewe ndio kati. ya hao wazee nn? Usiwe kichwa ngumu
Ni kweli mimi ni kati ya hao, ila nikuzindue tu kwamba hili likija halichagui mzee wala kijana. Ni nyinyi vijana, if at all you are among them, ndio munaolalamika humu kwamba hamuna kazi na serikali hatoi ajira. Narudia tena kukumbusha kwamba hili jambo likija nawe hutoki.
 
Mie sio kijana, ni above 50.
Gen Z wameibuka baada ya kuzimwa vyama vya upinzani.
Kuna kitu hakikufanywa ipasavyo na uongozi awamu hii. Yaani Wakizimwa hawa! litaibuka kundi jingine from no where! Hata mawe yataongea. Ni mpaka haki iwepo. Kama kufa na tufe?
 
Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.

By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.

Madai

1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzulu
5.Utekaji ukome.

Mto wa mbu
Illinois-USA.
Mwendo mperampera mchibuyu hakuna kupoa mwendo ni maandamano sikukuu zote kwa muda wa miaka mitano.
 
What a bitch,yaani we ujue siraha kuliko mie, C4 kuzipata ni ngumu?🤣🤣🤣
Mara na wewe tayari umekuwa komandoo 🤣🤣
Hizi bange za Kigoma msivute kabla hamjala.
Mtaaibika
 
Endelea kuota ndoto za gongo.
Samia ni RAIS WA MIAKA 10 Ijayo.
Mkitokeza kesho ni chuma kwenda mbele.
Mpk mseme pooo
Sasa umekuwa tena msoma nyota!
Tueleze ni lini ulitabiri jambo likawa kama ulivyotabiri wewe
Hiyo miaka 10 atakuwa anayea debe, kama atabahatika kuwa bado yu hai.
 
Mara na wewe tayari umekuwa komandoo 🤣🤣
Hizi bange za Kigoma msivute kabla hamjala.
Mtaaibika
Naona mmewekeza pakubwa sana na huyu Samia. Ni wazi kuwa mnaona uwekezaji wenu wote ukiyeyuka.

Huku kuushinikiza kwa maneno hakutasaidia chochote.
 
Naona mmewekeza pakubwa sana na huyu Samia. Ni wazi kuwa mnaona uwekezaji wenu wote ukiyeyuka.

Huku kuushinikiza kwa maneno hakutasaidia chochote.
Mtu asiejua kuwa hajui ni balaa kubwa
Mimi na Samua wapi na wapi. Mimi ni mzalendo ninaetakia mema nchi yangu.
Rais awe Samia , Pengo au askofu mimi sijali. Muhimu ni kuona nchi yangu ina amani.
Sasa jichanganye kesho utoke kuvamia mali za watu au muindo mbinu ya nchi uone
Chuma kinawasubiri kila kona
 
Mimi na Samua wapi na wapi. Mimi ni mzalendo ninaetakia mema nchi yangu.
Wewe ni kati ya "walevi" wa hovyo sana katika maswala ya kidini, huna chochote za hilo.
Rais awe Samia , Pengo au askofu mimi sijali. Muhimu ni kuona nchi yangu ina amani
"...nchi iwe na amani...." bila HAKI , hiyo amani itapatikana kwa kutumia mitutu ya bunduki?

Nilikwisha kukumbusha, lakini naona hukustuka. Historia yako humu JF tokea 2009 ipo wazi; na hakuna popote unapoonuyesha kwa na uzalendo na nchi hii.
 
Wewe ni kati ya "walevi" wa hovyo sana katika maswala ya kidini, huna chochote za hilo.

"...nchi iwe na amani...." bila HAKI , hiyo amani itapatikana kwa kutumia mitutu ya bunduki?

Nilikwisha kukumbusha, lakini naona hukustuka. Historia yako humu JF tokea 2009 ipo wazi; na hakuna popote unapoonuyesha kwa na uzalendo na nchi hii.
Teh teh teh
Leo umegeuka comedian
Unasema Tanzania hakuna haki.
Hebu nitajie haki gani wewe binafsi umenyimwa.

Yaani nyie watoto kosa kubwa alilofanya mzee mwinyi na Nyerere ni kuanzisha siasa ya vyama vingi
Hapa ilitakiwa Chama kimoja tu. Na yyt atakaeleta mdomo sukuma ndani km alivyokuwa anafanya Nyerere.

Wakati wa Nyerere hizi nyodo za kina Lisu polepole na watu kama hao ilikuwa hakuna hata siku moja .

Nyie vijana wa siku hizi mmeshiba uhuru.
Na mna tamaa sana mkiona kuna wananchi matajiri . Mnatamani sana muwapokonye mali zao kwa njia yyt.

Nakuhakikishia wewe hapo ungekuwa na mtaji hata wa milion 50 using thubutu kushabikia hao majambazi wanaoiba mali za wananchi kwa kisingizio cha kutaka haki.
Lkn kwa sababu huna cha kupoteza unaona bora tukose wote.

Roho mbaya itakuathiri mwenyewe. Matajiri Mungu ndio kawapa. Wewe huna uwezo wa kuwapokonya mali zao.
 
Unasema Tanzania hakuna haki.
Hebu nitajie haki gani wewe binafsi umenyimwa.
Ukiendelea hivi, nitaanza rasmi kukushughulikia kama ninavyofanya kwa walevi wenzako kama akina FaizaFox na akina Mhoamed Said.
Usifikiri ninao muda hapa wa kupoteza na mizunguko ya ki[puuzi kama hii.
Hizo takataka ulizoweka huko chini sina muda nazo.

So, be warned.
 
Bi mkubwa, wewe bado unanuka maziwa ya kifuani utamtisha mzee mwenye wajukuu wakubwa kuliko wewe.

Bring it on nicompoop.
Grandpa is waiting.

Usije kulia kwa mods tu.

Na ukitaka kuendelea kujadili na mimi kesho usije kudanganywa na hizo bange ukatoka.
Hapa hutoonekana tena.
I'm waiting for ur aggression sweetie
 
Bi mkubwa, wewe bado unanuka maziwa ya kifuani utamtisha mzee mwenye wajukuu wakubwa kuliko wewe.

Bring it on nicompoop.
Grandpa is waiting.
Tatizo lako ni kuwa huna kumbukumbu; hii haitakuwa mara ya kwanza na wewe nguruwe tu unayefugwa kuja hapa kuweka uchafu.
Historia yako naijuwa vyema sana, na leo naona umejigeuza na kuwa kama mtoto anayeanza kubalehe!
 
I thought you said you don't have time. 🤣🤣
Historia yangu ipi unaijua wewe mtoto ambae hutambuliki na yyt hapa ?

Nakuparuza paruza saa hii sababu sina la maana la kufanya.
Watoto wa level yako huwa nawapuuza tu.
Huna uwezo wa kujadili hoja yyt ya maana na mimi.
Km unafahamu Historia yangu basi utajua kuw mimi najadili na wazazi wenu. Wale ambao kabla hawajaandika utumbo humu wanafikiri kwanza.

Sasa we si umetishia kunishughulikia.!
I accept Your challenge.
Leta mipasho nikutawaze na misasa namba 4
 
Back
Top Bottom