Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Huko hatufiki, D9 mapema kabisa tunaanua jamviHakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzuru
5.Utekaji ukome.
Mto wa mbu
Illinois-USA.
Nguvu ya wananchi ni kubwaNjooni hata kila siku mtatukuta serikali imejipanga kukabiliana na wahuni wote!!
Nyie wauaji mwisho wenu ni D9. Kama mna akili kesho ndio siku yenu ya mwisho kutorokea OmaniNjooni hata kila siku mtatukuta serikali imejipanga kukabiliana na wahuni wote!!
Kinawaka watu Wana C4 plastic explosive, njooni kichwa kichwa π€£Njooni hata kila siku mtatukuta serikali imejipanga kukabiliana na wahuni wote!!
Njooni hata kila siku mtatukuta serikali imejipanga kukabi
Lazima kiwakeJ12 mbali sana huko.
Tutakomaa mpaka kieleweke hiyo keshokutwa.
90% ya mapato ya utalii ya $5b yanaenda kwenye matumbo yenu, nani atakosa zaidiTakribani robotatu ya waajiriwa kwenye fani ya utalii ni Gen Z
kwa hiyo unaona 75% ya maGen Z waliopo kwenye utalii wakiwa jobless ni kitu kizuri.....
Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzuru
5.Utekaji ukome.
Mto wa
90% ya mapato ya utalii ya $5b yanaenda kwenye matumbo yenu, nani atakosa zaidi
Hizo ni sacrifice katika kupata kikubwa zaidi,risk ni must be.Pamoja na kuwa mimi sipo serikalini na wala sinufaiki chochote na masuala ya siasa
Mfano; nikiwa Konda siwezi kuharibu gari kumkomoa mwenye gari wakati na mimi nategemea gari hilo hilo kuendesha familia yangu.....
Ni kiasi kikubwa kulinganisha na Gen Z wasio na ajira? Au waliopo kwenye sekta nyingine?Takribani robotatu ya waajiriwa kwenye fani ya utalii ni Gen Z
kwa hiyo unaona 75% ya maGen Z waliopo kwenye utalii wakiwa jobless ni kitu kizuri.....
Mmeambiwa muda wowote muende,mtawakutaHakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu aachiwe
2. Watu wapewe mili ya wapendwa wao
3.Katiba mpya
4.Samia ajiuzuru
5.Utekaji ukome.
Mto wa mbu
Illinois-USA.