PostGE2025 Kama demands zetu hazitotimia kwenye D9, tutakuja na J12

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe dickhead, tunajua unaishi US, huku kuhamasisha watoto wa masikini wauwawe wakati wewe kenge unafyoza kuku wa madawa ndio nini?
Au wewe ndio miss kimambi na ID nyingine
 
Kinawaka watu Wana C4 plastic explosive, njooni kichwa kichwa 🤣
Wewe mbuzi unagugogugo utumbo huko mitandaoni unadhani C4 unaipata kisengesenge hivyo
Kwanza hata unajua C4 explosive nini? au CHATGPT imekutoa tongotongo
Kwanini kina al qaeda na Isis wanatengeza milipuko yao wenyewe isiokuwa C4????
 
Wajuba msifanye hivyo, nendeni kwenye muafaka wa maridhiano, mtaua wenzenu kwa njaa. Tume imeundwa katoeni maoni yenu huko mtasikilizwa
 
J12 ni mbali sana, Xmass tunakuja na mengine
 
J12 gani tena wakati maandamano hayana kikomo? Au umelambishwa tule tujitu twa nyuki?
 
Wewe dickhead, tunajua unaishi US, huku kuhamasisha watoto wa masikini wauwawe wakati wewe kenge unafyoza kuku wa madawa ndio nini?
Au wewe ndio miss kimambi na ID nyingine
We Mjinga, amani itapatikana huyo msh3nzi Samia atakapoachia madaraka yake haramu. Vinginevyo ni mwendo huu huu tu hadi kieleweke, mlaumu huyo mpuuzi wenu.
 
Mtabadili tarehe mpk mpotee humu.

Hapa ukitoa pua tu unakutana nayo ak46
 
Huna lolote, sikiliza hotuba ya mtu aliyejipanga mchukue mawazo yake.


View: https://www.youtube.com/watch?v=NxZEk23qNBw
 
Kuna somo litatolewa tarehe 9 , hakuna mpuuzi atarudia Tena upuuzi wa kuitishia serikali, Mabeberu wote watabaki mdomo wazi.
 
Wewe mbuzi unagugogugo utumbo huko mitandaoni unadhani C4 unaipata kisengesenge hivyo
Kwanza hata unajua C4 explosive nini? au CHATGPT imekutoa tongotongo
Kwanini kina al qaeda na Isis wanatengeza milipuko yao wenyewe isiokuwa C4????
What a bitch,yaani we ujue siraha kuliko mie, C4 kuzipata ni ngumu?🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…