Kama Dhambi zako hazikuingizii Fedha achana na hizo Dhambi.

Nlitaka kukoment ila nafungua uzi tu nakuta unanuka mavi,condom zimezagaa chini,pakukaa pamevurugika..,
Hivi nani aliem-baka mwenzie kiasi hiki?

Loh uzi umejaa mavi huu,me natoka wakuu
 
Dah, AXIOM APEX VERBOSE, umeweka mada yenye kuamsha fikra sana na yenye ukweli ndani yake! Ni kweli kabisa kwamba dunia ya leo ina mambo mengi ambayo jamii au dini huyaona tofauti, lakini kiuchumi yana mapato makubwa.

Inatufanya tujifunze kuangalia mambo kwa undani na kujiuliza, sisi kama watu binafsi, tunathamini nini zaidi? Pesa au kanuni zetu za maisha na amani ya nafsi? Kila mmoja ana uhuru wa kuchagua njia yake, na ni muhimu kufanya uamuzi unaokupa amani na furaha ya kweli.

Asante sana kwa kutufanya tufikiri nje ya boksi! 😊

---
 
Nashukuru sana mkuu kwa kuamshwa na mada, kuna wakati inabidi tutoke ndani ya boksi kisha tufifkirie tukiwa nje ya boksi tuone inakuaje kuaje km ukifikiri nje ya boksi
 
Nlitaka kukoment ila nafungua uzi tu nakuta unanuka mavi,condom zimezagaa chini,pakukaa pamevurugika..,
Hivi nani aliem-baka mwenzie kiasi hiki?

Loh uzi umejaa mavi huu,me natoka wakuu
Kuna wehu waliingia kuchafua uzi mkuu
 
Back
Top Bottom