Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.
Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.
Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.
Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.