Kama Diamond anashindwa kumsitiri baba yake kwenye ukata utajiri wake una faida gani?

Mimi kwa kweli simlaumu Diamond

Hatujui aliyoyapitia wakati anahustle kuna kulala njaaa kuna kudaiwa kodi kuna kuumwa hamna hela ya matibabu
Mama yake labda alimpambania sana

Na pia kwa sababu hatujui ya zamani labda kipindi hiko baba ake alikua ana uwezo akawa ignore...
Ndio tusamehe 7×70 lakini sio kila mtu ana huo moyo....
Nmewaza tu hapa....

Ndugu nasibu si wakulaumiwa
Hata Kama mondi,alipitia matatizo gani,Kwanza ugomvi wa wazazi wewe mtoto haukuhusu,pia.imetokea mzee almasi kamaliza akaunti yake ya maisha katika sayari hi,nasibu ataenda au haendi mazikoni? Au akiwa anaumwa nasibu atatoa msaada au hatotoa?
Inashangaza wengine humu ni wanaume na tumekaa na tunawajua vizuri wanawake,Bado tunamuunga mkono mondi kwa anachofanya.
 
Hilo hutanishawishi hata uongee maneno gani, Huyo mzee alipotumia ugomvi wake na mkewe kumuadhibu Nassibu alikuwa hajui kesho yanaweza kumgeuka?
 
Mimi kwa kweli simlaumu Diamond

Hatujui aliyoyapitia wakati anahustle kuna kulala njaaa kuna kudaiwa kodi kuna kuumwa hamna hela ya matibabu
Mama yake labda alimpambania sana

Na pia kwa sababu hatujui ya zamani labda kipindi hiko baba ake alikua ana uwezo akawa ignore...
Ndio tusamehe 7×70 lakini sio kila mtu ana huo moyo....
Nmewaza tu hapa....

Ndugu nasibu si wakulaumiwa
Hakuna sababu yoyote ile chini ya jua ambayo inaweza kuhalalisha yeye kutomtunza baba yake,maana ni wazi sababu kazipata kwa mama yake.
 
malipo ni hapa hapa duniani, huyo mzee anavuna alichopanda, sie baadhi ya wanaume ni wapumbavu sana hasa tunapobobea kwa michepuko hua tunazinyanyasa sana familia na wake zetu bila kujua kuna kesho, huyo mzee nadhani anamajuto sana.
 
Back
Top Bottom