pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Ulishawah kuona picha ambayo imesambaa sana mitandaoni wakiwa wote watatu tena wanacheka sana??Tuambie sababu alizozipata kwa mama yake ni zipi ili tupime kama zinafaa kutomtunza baba yake.
Pili,kwa tabia ya mama yake kupenda kutembea na watoto wadogo,ulishawahi fikiria nje ya box kuwa baba yake alikumbwa na maswahiba gan?