Kama Diamond anashindwa kumsitiri baba yake kwenye ukata utajiri wake una faida gani?

Wabongo huwa mnajifanya mnajua sana.

Ya kwenye ndoa Waachie wahusika otherwise na wewe uwe mwanandoa.View attachment 1655863
Kama aliweza kumlea adi kufikia hapa msimhukumu mzee kuna mengi yapo kati hao watu wawili baba na mama wa domo....watu wasisahau pia mwanamke ana ulimi mbaya sana akiamua kupandikiza chuki kwa mtoto
 
Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.

Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.

Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.

Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.
Unampangia mtu mzima jinsi ya kutumia hela zake mwenyewe?
 
Ugomvi wa wazazi utamuhusu mtoto kama utamuathiri mtoto moja kwa moja.
Kama mtoto anaumwa akaambiwa na mama yake akaombe hela kwa kwa baba yake na baba yake akamtimua huu ugomvi utamuhusu huyu mtoto moja kwa moja.
Mtoto atabaki na picha ya kumuomba fehda ya matibabu baba yake na kufukuzwa.
Hata mama asiposema chochote mtoto ataona hapati huduma kwa baba na akiomba huduma anafukuzwa, Akiwa mkubwa na kufanikiwa hawezi kulaumiwa huyu mtoto kwa kundeleza bifu na kutomjali ambae hakumjali.
 
Huyu mzee nae kila nikimtizama naona ni wale wazee wakupiga na kuacha,haiwezekani watoto wawili aliozaa kwa wanawake wawili tofauti wote stori yao iwe moja ya kwamba mzee hakuwatunza.

Huyu yeye alikuwa anazalisha alafu hana time ya kulea,huyo Queen na Diamond wote wamelelewa na upande wa mama zao,so mzee awe mpole tu na anachopata kwani kwa mujibu Queen Darleen mzee wana msaidia,japo mzee anataka kupewa hadhi kama ya Mama Dangote hapo ndipo pagumu.
 
Ugomvi wa wazazi utamuhusu mtoto kama utamuathiri mtoto moja kwa moja.
Kama mtoto anaumwa akaambiwa na mama yake akaombe hela kwa kwa baba yake na baba yake akamtimua huu ugomvi utamuhusu huyu mtoto moja kwa moja.
Mtoto atabaki na picha ya kumuomba fehda ya matibabu baba yake na kufukuzwa.
Hata mama asiposema chochote mtoto ataona hapati huduma kwa baba na akiomba huduma anafukuzwa, Akiwa mkubwa na kufanikiwa hawezi kulaumiwa huyu mtoto kwa kundeleza bifu na kutomjali ambae hakumjali.
Upo sawa kabisa,kwani hamna picha mbaya kama mzazi kumwonyesha,ukatili mtoto yaani hii kama mzazi lazima ije kumcost baadae.
 
Dmond endelea kukaza hivyo hivyo..tuko nyuma yako tunakusapoti
 
Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.

Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.

Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.

Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.
Nadhani ishu ya Diamond na wazazi wake sio ya kuiingilia na kutoa majumuisho (conslusion). Hatujui walianzaje kuwa na mafarakano na walifikia hatua gani. Tuwaache, watayamaliza wao wenyewe
 
Wewe jamaa nilijua ni mwelewa, intellect... Kumbe unazo hizo imani ushenzi
Hivi binadamu wa kiume with 2 balls hanging between your legs unaanzaje labda kwa mfano kumuacha baba yako anaumwa miguu hadi inaoza kama sio uchawi huo?
 
Kuna binadamu wa kiume with 2 balls hanging between legs wametelekeza watoto wao wa kuwazaa kabisa.
Hivi binadamu wa kiume with 2 balls hanging between your legs unaanzaje labda kwa mfano kumuacha baba yako anaumwa miguu hadi inaoza kama sio uchawi huo?
 
Nadhani ishu ya Diamond na wazazi wake sio ya kuiingilia na kutoa majumuisho (conslusion). Hatujui walianzaje kuwa na mafarakano na walifikia hatua gani. Tuwaache, watayamaliza wao wenyewe
Unaachaje kumsaidia baba ako mzazi unaenda kumsaidia mtu usiyemjua?
 
Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.

Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.

Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.

Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.
Utakua Mama bora siku za usoni
 
Baba yangu alinifanyia mabaya sana,mpaka kunigomea kulipa ada.Ila sasa hivi namsaidia na kumlea zaidi ya mama.

Na mama amekuwa akinisihi nisilipe kisasi
 
Back
Top Bottom