Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Alipotia mimba kazi yake iliisha, acha alioungua nao jua, ale nao kivuliniMimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.
Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.
Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.
Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.
Kutoa ni moyo usambe ni utajiriMimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.
Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.
Wanaume wengi wametelekeza watoto na hata familia zao. Napenda kuwajulisha hakuna mwanaume aliyekamilika. Tusitelekeze au kuwahukumu wazazi kwa makosa yao wakati wa mahusiano.
Unaitwa tajiri ila wa nyumbani kwako wanazalilika si poa.
Kweli kabisa mkuu. Yaani kuna vitu vinafanywa na watu unaowaamini vinakutoa kwenye reli kabisaKAMA HAUKO NDANI YA FAMILIA HUSIKA HUWEZI JUA MATATIZO YALIYOMO NA PIA HAKUNA CHUKI MBAYA KAMA INAYOTOKEA MIONGONI MWA WANAFAMILIA,HUWEZI JUA KINACHOENDELEA KATI YA YULE MZEE NA FAMILIA YAKE.
Wabongo huwa mnajifanya mnajua sana.Wewe huwajui wanaume punguani tu....ngoja utakutana nao kama bado haujaolewa...
Watakupa mimba ukiwasogelea hawakujui.mwanaume wa hivi hana tofauti na mwanamke anayekuzalia mtoto wa nje.
Vipi ulipata zile receipts za Baba yako mkuu?Wabongo huwa mnajifanya mnajua sana.
Ya kwenye ndoa Waachie wahusika otherwise na wewe uwe mwanandoa.View attachment 1655863
KWELI KABISA. Hizi familia zina mambo mengi sana, kama huyafahamu ya ndani usimuhukumu mtu.KAMA HAUKO NDANI YA FAMILIA HUSIKA HUWEZI JUA MATATIZO YALIYOMO NA PIA HAKUNA CHUKI MBAYA KAMA INAYOTOKEA MIONGONI MWA WANAFAMILIA,HUWEZI JUA KINACHOENDELEA KATI YA YULE MZEE NA FAMILIA YAKE.
Ukizaa Lea, usipolea usilaumu usipolelewa.Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.