Kama DPP haondolewi ofisini mpaka afanye makosa au awe na tatizo la kiafya, Rais kamuondoa katika mazingira gani?

Turudi hapa wadau. Huko jikoni tayari CAG kishafanya yake, kilichobakia ni kuweka mezani tu.

Biswalo Mganga, hachomoki
Sidhani na wla CAG hajsema bayana hivyo
 
Ukisoma kifungu hicho cha 19(1) na (2) utagundua kwamba kuteuliwa kwake kuwa judge wa mahakama kunatokana na kukidhi sifa za kuwa DPP vile.Kwa tafsiri nyepesi,hana tatizo lolote ndo maana kateuliwa kuwa judge.
 
Ni muendeleze wa kutoiheshimu katiba yetu, Mwendazake naye alifanya hivi hivi kumwondoa Prof. Asad.
 
Turudi hapa wadau. Huko jikoni tayari CAG kishafanya yake, kilichobakia ni kuweka mezani tu.

Biswalo Mganga, hachomoki
tumuonee huruma baba wa watu, yeye alikuwa anatekeleza maagizo ya JIWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…