Kama dunia inazunguka, kwanini miamba na milima haiporomoki? Na kwa nini bahari isimwage maji yake?


Mkuu hakuna sehemu nimesema mass ni uzito...bali nilisema mass ni tungamo.Tena nikasema sina uhakika kwa hayo maneno mawili ya kiswahili pia nikasema uzito ni weight..Naomba uoneshe ni wapi nimepotosha itanisaidia mimi na wengine

Kuhusu mass kutokubadilika nimeeleza vizuzi kwenye hiyo comment pale juu kua kitu hicho hicho hakibadiliki mass lakin weight inabadilika..

Au labda wwe unasema kwa kitu hicho hicho mass itabadilika ukienda sehemu tfaut na duniani?

Mkuu Anheuser

Karibu
 
Last edited by a moderator:
ngoja niweke kifurushi nirudi kuanzia leo ntakua muumini wa huku
 

Kwa nini usijiulize mbona huanguki?mimi nikushauri urudi darasani.
 
Nashangazwa kuambiwa eti nyota ni zina ukubwa sawa au zaidi yadunia sasa universe inaishia wap kukiangalia nyota zote zile mbinguni
 

Asante kwa elimu yako nzuri, hakika nimejua mambo magumu kwa wepesi, rabda km ningepataga mwalimu mzuri km wewe basi nisingekimbia physics. Samahani naomba unieleweshe juu ya galaxy na universe
 
Ivi kwamfano Gravity force ikipotea, na sayari zikajiachia... Huko chini zitakapokwenda, kuna mwisho? Kukoje?
Au mfano chombo kikitoka nje ya dunia, alaf kisiamue kwenda Kwenye sayari yoyote, bali kikaenda chini na kuziacha sayari juu.. Kule kitakapokwenda, je, kuna mwisho? Kukoje?
Naomba msaada wakuu
 
Asante kwa elimu yako nzuri, hakika nimejua mambo magumu kwa wepesi, rabda km ningepataga mwalimu mzuri km wewe basi nisingekimbia physics. Samahani naomba unieleweshe juu ya galaxy na universe

Shukrani tamadunimusic. Kuna mada kadhaa tofauti niliwahi kupost lakini hii ambayo kwa sasa ni closed topic kuhusu nyota na galaxies inaweza kuwa muafaka kwa ombi lako. Click hapa
 
Last edited by a moderator:
What will happen kama dunia ikipoteza force of gravity;je vitu vitangukia wapi

simple! chukua kitu kama jiwe au hata kipande cha chuma kufunge na kamba kisha shika upande mmoja anza kuzungusha kwa namna yoyote kwa muda halafu achia hiyo kamba! kitakachotokea ndivyo itakavyo tokea gravitation force itakapo potea! (ila haitakaa ipotee! labda dunia ipigwe na kimondo kikubwa kuizidi!)
 
Mkuu Mlaleo

Lakini mwisho wake hutua chini si eti eeh?

Gravity ya mwezin ni ndogo kiasi cha kumfanya mtu awe kama unyoya sasa sijui huo unyoya ukiachiwa mwezin unakuwa kwenye hali gani.
 
Last edited by a moderator:
Maswali mengine bwana, tusomage tu tujibu pepa maisha yaendelee
 
Kuongezea😛ia unapozidi kuiacha dunia maili nyingi pia gravity inapungua kias kitu kubadili muelekea yaan badala ya kuelekea duniani kinakuwa kinaelekea angahewa(free space).Mfano mtu aliye mwezini hawez kutembea sawa na aliye ardhini......Pia bila gravity maana yake hata mvua isingeshuka bali hata formation yake isingekuwepo na kama ni kunyesha ingenyesha kuelekea vile mvuke uendapo.Kuto kuhisi mnyongea...tutambue dunia inazunguka ktk mwendo kasi mkubwa lakini kutokana na ukuwa wa dunia mnyongea huo tunauona kuwa mdogo(tizama kusogea kwa kivuli cha kilichopo ardhini.Kumbuka dunia ipo ndani ya ulimwengu ambao unafanana Pande zote uangaliapo toka dunia na huenda ukazongwa na mawingu ama nyota usiku.Pia upo nje ya dunia walioko ndani tena tabaka la juu ni wale wachimba madini migodini...Upo ktk uso wa dunia na unasukumiwa hapo na iyo gravity..Ili kutoka inakupasa utumie kifaa chenye uwezo wa kukinzana na iyo nguvu mf ndege,roket nk.Naruhusu kukosolewa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…