Mjadala kuhusu mpango wa kujenga Ebola quarantine facility nchini Kenya unaendelea kushika kasi huku Wakenya wengi wakijiuliza swali moja kuu: Kama facility hii ni salama, kwa nini Marekani isiijenge kwao?
Maafisa wa Marekani wanasema kuwa kuweka kituo hicho Kenya kutasaidia Americans waliokaribiana na wagonjwa wa Ebola kupata matibabu haraka iwapo wataonyesha dalili, badala ya kusafirishwa hadi Marekani. Pia wanadai kuwa mradi huo utaongeza uwezo wa Kenya kukabiliana na milipuko ya magonjwa siku zijazo.
Lakini hoja hii haijawaridhisha wananchi wengi. Civil society groups, legal watchdogs na viongozi mbalimbali wamehoji kwa nini Kenya ichukue jukumu la kuhifadhi watu waliopata exposure ya Ebola ikiwa Marekani yenyewe ina uwezo mkubwa zaidi wa afya.
Wakati huo huo, Marekani imekiri kuwa ina backup plans endapo Kenya itazuia mradi huo. Nchi kama UK na Germany zimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo mbadala yanayoweza kutumika.
Katika matukio ya awali, madaktari wa Marekani waliokuwa wameathiriwa na Ebola walipelekwa moja kwa moja Germany na Czech Republic kwa uangalizi maalum.
Hapa Kenya, Law Society of Kenya pamoja na mashirika mengine wamefikisha suala hilo mahakamani wakisema kuwa mfumo wa afya wa Kenya bado unakabiliwa na changamoto nyingi na haupaswi kubeba mzigo wa pathogens kutoka nje.
Mahakama Kuu tayari imesimamisha kwa muda ujenzi wa kituo hicho pamoja na kuingizwa kwa wagonjwa wa kigeni hadi kesi hiyo isikilizwe kikamilifu.
Je, Kenya inapaswa kusaidia kama mshirika wa kimataifa katika kukabiliana na Ebola, au wananchi wana haki ya kukataa kubeba hatari ambayo hata nchi tajiri zinaonekana kuepuka?