Kigamboni alikuwa namba 1 ila akakatwa na vyombo vya juu 😄Kashindwa kwenhe kura za wajumbe Kigamboni hadi Kongwa, watu wa aina hii wapo tayari kufanya lolote baya ili kupata anachotaka
Kongwa sio Tanzania?Kigamboni alikuwa namba 1 ila akakatwa na vyombo vya juu 😄
Alipata kura ngapi mpk akawa no 1? acha utapeliKigamboni alikuwa namba 1 ila akakatwa na vyombo vya juu 😄
Hisia zako tuu .Watu wasiende kugombea kisa harufu unazoona?
Hagombei 😄Kongwa sio Tanzania?
82% ya Kura za Wajumbe 😂Alipata kura ngapi mpk akawa no 1? acha utapeli
Acha utapeli taja idadi alizopata na ni tarehe ngapi alipigiwa kura82% ya Kura za Wajumbe 😂
Mtandao na wana mtandao, wanazidi kujipanga kila kona
Mnamuogopa sanaAcha utapeli taja idadi alizopata na ni tarehe ngapi alipigiwa kura
Tayari tushawajua waliokwapua Bandari na makombe ya mpira
Unafikiri zinachangwa pesa za bure? Deal done!
Waliangalia wapi kuna weak point wakapiga kichapo hahaha ila hawa jamaa balaaNguvu ya mtandao
Wanamtandao wana nguvu ya pesa na ndiyo waliomo kamati kuu itakayoteua jina la mgombea. Hata Hersi akipata kura 2 atapendwkezwa kuwa ndiye mgombea. Katumwa huyu, ana kmemo cha jk mkononi.Wacha waendelee kuwaaminisha watu kuwa Ndugai aliuawa kwa ujinga wao. Ndugai kafariki, wajumbe wapigie kura majina ya wale waliojitokeza awali ( hao ndio hasaa walidhamiria kutaka kuwa wabunge wa hilo jimbo na sio kuleta watu wapya.