GE2025 Kama Eng Hersi Said ameenda kugombea Kongwa naanza kuona harufu fulani puani kwangu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wacha waendelee kuwaaminisha watu kuwa Ndugai aliuawa kwa ujinga wao. Ndugai kafariki, wajumbe wapigie kura majina ya wale waliojitokeza awali ( hao ndio hasaa walidhamiria kutaka kuwa wabunge wa hilo jimbo na sio kuleta watu wapya.
Huko Kongwa Nako wamtose tuu na mahela yake wale!
 
Bongo bila ya coup d’etat haitakuja kukaa sawa.
 
Kwa nini wasichukuliwe wale wagombea waliofuatia kwa kura ili wapitishwe kugombea hilo Jimbo? Kwa Injinia Hersi ametokea Kongwa? Au kuna watu wanataka kuleta mauza uza kama yale ya Arusha mjini na Makonda?
Wewe unadhani ile milioni 100 alioahidi kuitoa ilikuwa bure bure?
Huenda kuna jambo.

Note:
So far sidhani kama Engineer Hersi atakwenda kugombea Kongwa now, ukizingatia alikwenda Kigamboni na jina kukatwa na Kamati kuu. Yatakuwa maajabu makubwa sana kama Kamati kuu iliyomkata Kigamboni mwezi mmoja uliopita halafu ikampitisha tena mgombea huyo huyo jimbo la Kigamboni.
 
Umeweka maoni yako kwa jambo ambalo limeshatokea. Herai ni mmoja wa waliochukua form kugombea ubunge. Waliochukua form jumla wa po 24 mmojawapo ni hersi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…