Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya
GrkMbbpboAAXy12.jpeg


Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa

Mimi nikiwa Rais viwanja vitajengwa kila mkoa ila dar es salaam vitajengwa vitatu kwa sababu mahitaji ni mengi
Vitakua na sifa zifuatazo
  • Viti vya kukunja
  • Vyoo visafi
  • Vyumba vya kisasa vya kubadilishia nguo
  • Multipurpose vitatumika kwa ajili ya mipra wa miguu na michezo ya Olympic
  • Vitakuwa na nyasi za kisasa nzuri na sio bandia
  • Chumba cha VAR
  • Kitakuwa na taa nyingi ili mechi ziweze kuchezwa hata usiku
  • Nyasi hybrid
Lazima vitajengwa kwa ubora wa hali ya juu na budget moja ya mwaka wa fedha inatosha kutengeneza viwanja vyote hivi vya mpira kwa mikoa yote
 
Vitakua na sifa zifuatazo
  • Viti vya kukunja
  • Vyoo visafi na usimamizi wa hali ya juu
  • Vyumba vya kisasa vya kubadilishia nguo
  • Multipurpose vitatumika kwa ajili ya mipra wa miguu na michezo ya Olympic
  • Vitakuwa na nyasi za kisasa nzuri na sio bandia
  • Chumba cha VAR
  • Kutakua na taa nyingi uwanjani ili mechi ziweze kuchezwa usiku
 
Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya View attachment 3343395

Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000/= hii inawezekana kabisa

Mimi nikiwa Rais viwanja vitajengwa kila mkoa ila dar es salaam vitajengwa vitatu kwa sababu mahitaji ni mengi
Vitakua na sifa zifuatazo
  • Viti vya kukunja
  • Vyoo visafi
  • Vyumba vya kisasa vya kubadilishia nguo
  • Multipurpose vitatumika kwa ajili ya mipra wa miguu na michezo ya Olympic
  • Vitakuwa na nyasi za kisasa nzuri na sio bandia
  • Chumba cha VAR
Lazima vitajengwa kwa ubora wa hali ya juu
Kwa washabiki wa mpira na kubet sawa watakupa kura.

Sikupi hata kura ya hapana
 
Acha ujinga chukua izo block za mbele tu uliza price,vigogo watakwambia billion 9 zmetumika
 
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000/= hii inawezekana kabisa
Mh rais hata hesabu hujui, utalitia taifa kwenye umasikini. Kwa hiyo bil16 mara 31 unapata bil496,000/=
Bil 16x 31 unapata bil 496. Acha kutapanya Mali ya uma
 
Mh rais hata hesabu hujui, utalitia taifa kwenye umasikini. Kwa hiyo bil16 mara 31 unapata bil496,000/=
Bil 16x 31 unapata bil 496. Acha kutapanya Mali ya uma
Kila mwaka serikali inanunua magari ya karibia billion 500 na miaka mingine ni billion 300 elewa ni kila mwaka

Sasa inashindikanaje kutenga budget kwa mwaka mmoja wa fedha ukajenga hivyo viwanja ambavyo ni uwekezaji wa mda mrefu
 
Back
Top Bottom