The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Dogo watoto WA shemeji yako wameshamaliza kuangalia tamthilia tandika godoro hapo sebuleni ulale.Usijikite kwenye makosa madogo madogo jikite kwenye mada kuu
Sah'waah
Nyau de adriz
Dogo watoto WA shemeji yako wameshamaliza kuangalia tamthilia tandika godoro hapo sebuleni ulale.Usijikite kwenye makosa madogo madogo jikite kwenye mada kuu
Kumbuka kwamba unataka kuwa rais, sasa maswala ya pesa ya uma lazima uwe makini nayo. TutakufungaUsijikite kwenye makosa madogo madogo jikite kwenye mada kuu
Hata sahivi fedha zinatapanywa ila hakuna anayefungwa refer report ya CAGKumbuka kwamba unataka kuwa rais, sasa maswala ya pesa ya uma lazima uwe makini nayo. Tutakufunga
SikupiAhsante kwa kushiriki na karibu tena
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaSikupi
Una logic kubwa sana.Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya View attachment 3343395
Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa
Mimi nikiwa Rais viwanja vitajengwa kila mkoa ila dar es salaam vitajengwa vitatu kwa sababu mahitaji ni mengi
Vitakua na sifa zifuatazo
Lazima vitajengwa kwa ubora wa hali ya juu
- Viti vya kukunja
- Vyoo visafi
- Vyumba vya kisasa vya kubadilishia nguo
- Multipurpose vitatumika kwa ajili ya mipra wa miguu na michezo ya Olympic
- Vitakuwa na nyasi za kisasa nzuri na sio bandia
- Chumba cha VAR
- Kitakuwa na taa nyingi ili mechi ziweze kuchezwa hata usiku
Kwa haya mapato yetu ya sahivi ambayo tunakusanya bila hata kuongeza kuna mtu ukimpa kama mimi ntafanya mambo makubwa SanaUna logic kubwa sana.
Katika hili nitakuunga mkono.
Watanzania tunapaswa kuwa na fikra za namna hii.
Yaani
1. Kipaumbele
2. Uhalisia wa gharama.
3. Matokeo makubwa.
Kutenga budget ya shilingi bilioni 500 kila mwaka ili kununua magari ya viongozi tu, huo ni uwendawazimu. Hizo pesa zingetosha kujenga viwanja 31, yaani kila mkoa kiwanja kimoja cha kisasa cha mpira wa miguu, ndani ya budget ya mwaka mmoja tu.
Watanzania amkeni sasa.
Rais mbona mbishi wakati umekosea? Ukiwa Rais si utakuwa unawafunga wakosoaji wako kama hapa tu unakataa kabisa kosa ulilofanya wazi? Acha ujinga Rais... rekebisha hapo.Usijikite kwenye makosa madogo madogo jikite kwenye mada kuu
Ww nenda kawe Rais wa BrazilKama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya View attachment 3343395
Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa
Mimi nikiwa Rais viwanja vitajengwa kila mkoa ila dar es salaam vitajengwa vitatu kwa sababu mahitaji ni mengi
Vitakua na sifa zifuatazo
Lazima vitajengwa kwa ubora wa hali ya juu na budget moja ya mwaka wa fedha inatosha kutengeneza viwanja vyote hivi vya mpira kwa mikoa yote
- Viti vya kukunja
- Vyoo visafi
- Vyumba vya kisasa vya kubadilishia nguo
- Multipurpose vitatumika kwa ajili ya mipra wa miguu na michezo ya Olympic
- Vitakuwa na nyasi za kisasa nzuri na sio bandia
- Chumba cha VAR
- Kitakuwa na taa nyingi ili mechi ziweze kuchezwa hata usiku
- Nyasi hybrid
View attachment 3350733
Hiyo reply yangu inaubaya upiRais mbona mbishi wakati umekosea? Ukiwa Rais si utakuwa unawafunga wakosoaji wako kama hapa tu unakataa kabisa kosa ulilofanya wazi? Acha ujinga Rais... rekebisha hapo.