Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #41
Ahsante kwa kushirikiWw nenda kawe Rais wa Brazil
Ahsante kwa kushirikiWw nenda kawe Rais wa Brazil
Viwanja vitatumika kwenye ligi ya mpira, ligi daraja la kwanza, na vingine michezo ya OlympicRais kabla hujajenga viwanja vya mabilioni umefikiria kuhusu maintenance baada ya kuvijenga? Vipi kuhusu events za kufanyikia kwenye hivyo viwanja? Kajifunze kwenye nchi ya Gabon kuhusu viwanja vilivyotelekezwa baada ya AFCON 2017.
Shida sio uwezo wa kujenga bali je, ni uwekezaji unaolipa? South Africa wakati wa kombe la dunia walijenga viwanja vingi na vyenye ubora wa hali ya juu sasa hivi kipindi kikubwa cha mwaka pretty much vinebaki kuwa makazi ya njiwa.Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya View attachment 3343395
Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa
Mimi nikiwa Rais viwanja vitajengwa kila mkoa ila dar es salaam vitajengwa vitatu kwa sababu mahitaji ni mengi
Vitakua na sifa zifuatazo
Lazima vitajengwa kwa ubora wa hali ya juu na budget moja ya mwaka wa fedha inatosha kutengeneza viwanja vyote hivi vya mpira kwa mikoa yote
- Viti vya kukunja
- Vyoo visafi
- Vyumba vya kisasa vya kubadilishia nguo
- Multipurpose vitatumika kwa ajili ya mipra wa miguu na michezo ya Olympic
- Vitakuwa na nyasi za kisasa nzuri na sio bandia
- Chumba cha VAR
- Kitakuwa na taa nyingi ili mechi ziweze kuchezwa hata usiku
- Nyasi hybrid
View attachment 3350733
Ligi ya Tanzania ni ya nne kwa ubora ila inamiundombinu mibovu sanaShida sio uwezo wa kujenga bali je, ni uwekezaji unaolipa? South Africa wakati wa kombe la dunia walijenga viwanja vingi na vyenye ubora wa hali ya juu sasa hivi kipindi kikubwa cha mwaka pretty much vinebaki kuwa makazi ya njiwa.